Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,288
- 5,762
Nilibahatika kutembelea eneo la Njiro round about kwa Rafiki yangu, nakukuta yupo busy kupakia madumu kwenda kuteka maji.
Binafsi nilishangaa kwani pamoja na Arusha kuwa na vyanzo vingi vya maji na NJIRO kuwa ndani ya kms 10 hivi kutoka mjinikati tena Eneo lililojengeka vizuri, inakuwaje halina maji ya bomba?
Naomba nieleweke Vizuri, MTANDAO WA BOMBA UPO ILA NIMEAMBIWA KUWA UNAWEZA KUCHUKUA MIEZI MIWILI NA KUENDELEA BILA KUTOA MAJI HATA SIKU MOJA.
Nimeambiwa hili tatizo la maji linahusu maeneo yote kuanzia barabara mpya ya East Africa kuelekea mwisho wa Lami na ni la muda mrefu ....nina maanisha miaka kadhaa
Nionavyo mimi, hii ni fursa ya wazi kwa Idara ya maji kutengeneza Pesa; hata sijui tatizo ni nini?