meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Hii nayo ni thread.
Ama kweli Arusha ni kiboko.nilikuwa ma.---- bar aka Arusha night park ..kuna umati wa wateja kuliko unavyoweza kufikiri
Hii ndio ile bar iliyopigwa bomu juzi juzi tu!
Hatishiwi mtu nyau!
Ama kweli Arusha ni kiboko.nilikuwa ma.---- bar aka Arusha night park ..kuna umati wa wateja kuliko unavyoweza kufikiri.
Hii ndio ile bar iliyopigwa bomu juzi juzi tu!
Hatishiwi mtu nyau!
bangi za arusha zinawapa ujasiri sana
.....Hapa ni ndani ya mgodi chini ardhini zaidi ya km 1 ...hii kitu inakujengea ujasiri sana !!!!
milipuko mikubwa na mizito ni sehemu ya burudani ndani ya migodi......
Zina stim hakuna kitu kama hiyo, lile plastic bag leo umeweka wapi??
liko kwa bibi yako
Ama kweli Arusha ni kiboko.nilikuwa ma.---- bar aka Arusha night park ..kuna umati wa wateja kuliko unavyoweza kufikiri.
Hii ndio ile bar iliyopigwa bomu juzi juzi tu!
Hatishiwi mtu nyau!
Hii nayo ni thread.
Chapuje, nangurumisha digger la kwa Chalii
Lazima tutoboe, Mathias ameisha mbaya tumeshamuacha mbaali muno
CHADEMA at work
Tena iko jukwaa la siasa,yawezekana nae yuko hapo anakunywa viroba jogoo.
Ama kweli Arusha ni kiboko.nilikuwa ma.---- bar aka Arusha night park ..kuna umati wa wateja kuliko unavyoweza kufikiri.
Hii ndio ile bar iliyopigwa bomu juzi juzi tu!
Hatishiwi mtu nyau!