Tanesko iko hoi tatizo ni vipi waeleze ukweli mchungu kwa watanzania!
Hizi ni taarifa kutoka jikoni.
kiukweli kuna hela ziltakiwa kwa miradi ya maendeleo lakini Tanesko wameziomba ,wanategemea makusanyo,nahisi makusanyo yamegoma!so sad......kuna band ya rock iliimba wimbo mmoja hivi.....unaitwa SAD BUT TRUE!Mkuu Jackbauer nakwambia ni kweli kabisa kwani nimeongea punde na mdau wangu ambaye nimepita naye class moja ambaye ndiye aliyeshughulikia yale majenereta yote kiufundi mpaka yakakaa pale na amedai hajawahi kuona serikali dhaifu legelege kama hii!
nahisi mgao umerudi kimya kimya!