Arusha natafuta kazi, Bachelor in Computer Science

Arusha natafuta kazi, Bachelor in Computer Science

Habari,

Ninatafuta kikamilifu nafasi za kazi au mafunzo. Nina Shahada ya Kwanza katika Sayansi ya Kompyuta.

Asante,
Mkuu nakushauri uendelee kupambana kwanza Arusha hata kwa kwenda kuomba kazi Stationary na sehemu wanazofanya mambo kama haya!
Nakutakia kila la kheri!
 
Habari,

Ninatafuta kikamilifu nafasi za kazi au mafunzo. Nina Shahada ya Kwanza katika Sayansi ya Kompyuta.

Asante,
Ingia ajira portal kuna nafasi ya kazi inayokuhusu imetangazwa jisajili na uapply
Nafasi yenyewe hii. “AFISA TEHAMA”
 
Attachments

  • IMG_1375.png
    IMG_1375.png
    53.2 KB · Views: 14
Back
Top Bottom