ilipingwaa na gari ila hadi leo kurudisha tabu....kuna ile ya kama unatokea stand kuu ya mabasi, ukitaka kukunja uje mwenge haiwezekaniki, au mie ndio "kiazi"? hizi taa za arusha bwana, vuruguuu tupu, ile ya sanawari ya kivuko cha miguu nayo sijui imeondolewa, sijui ilipata ajali lakini haipo, mweh
ngoma frencicona hiiKama ni martaa tu ya kuongozea gari basi hata Arusha yamo sema sasa haijulika ni wakati gani mwenda kwa migii atapita na niwakati gani gari linatakiwa kupita kama hapo wakuu wa usalama barabarani nijuzuni.
View attachment 103918
nakatamani hako kabaridi...
mweeh mweeh mweeh njoo kwetu Njombe huku utakimbia, kuna baridi kama tuko bara la antaktika, ila sie tushazoeapo karibu sana, kuna baba mmoja huwa anatania kama unataka kujipima urijali mwanaume akasimamishe njombe akiweza kusimamisha mara 3 mfululizo yaani akabiga bao 3 basi huyo kweli rijali. Wanaume wa huku wanalalamika baridi yaani ukivua tuu kama ilikuwa imesimama ndani ya suruali ikipata kale ka ubaridi tuu inalala fyooo sasa kazi hapo kuiamusha iiih karibuepo rafiki njombe unatamani kabaridi eeh karibu.