Arusha na silaha

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,172
Reaction score
3,265
Jamani huku Arusha karibu kila kijana mwenye maisha mazuri kiasi anamiliki bastola . Sijui kama kuna mkoa watu wanamiliki silaha kama huu . Ni kwanini inakuwa hivi ? Nipe sababu zako.

Hata mimi namiliki!ni kwa usalama tu,na si vinginevyo!ukileta zako nakupoteza!
 
Hofu ya police sisiem si umesikia mambo yao huko ludewa, achilia mbali Yale ya mwakyembe!!
 
Unahisi ukija jf utapata maisha mazuri umiliki na ya kwako??
 
Nadhani Arusha inaelekea kuwa Texas .
 
Jamani huku Arusha karibu kila kijana mwenye maisha mazuri kiasi anamiliki bastola . Sijui kama kuna mkoa watu wanamiliki silaha kama huu . Ni kwanini inakuwa hivi ? Nipe sababu zako.

Ni dalili ya ushamba. Wameambukizwa na nchi jirani ya Kenya.
Hata sehemu za Starehe utawakuta na Silaha , Bastola au Kisu mfukoni, ni wanaume wasiojiamini.
 
Hayo ndio maendeleo tunayotaka! Hongera CDM, Hongera WACHAGA!
 
Siwapatii picha green guard wakileta ule ****** wako wa igunga
 
Ni dalili ya ushamba. Wameambukizwa na nchi jirani ya Kenya.
Hata sehemu za Starehe utawakuta na Silaha , Bastola au Kisu mfukoni, ni wanaume wasiojiamini.

kwahiyo texas nao ni washamba ?
 
Ni dalili ya ushamba. Wameambukizwa na nchi jirani ya Kenya.
Hata sehemu za Starehe utawakuta na Silaha , Bastola au Kisu mfukoni, ni wanaume wasiojiamini.

mkuu kiutamaduni waarusha hutembea na rungu(ng'udi) au sime.sasa kutokana na utandawazi imebidi mila iendelezwe kwa staili ya kutembea na miguu ya kuku.
 
hapo naweza kukubaliana na wewe ila sasa hivi arusha kunamchanganyiko wa makabila mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…