the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 834
- 1,102
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.

Wewe endlea na itikadi zako zaki zee tuone kama watu na vijana wa taifa hili bado wamelala, walikuwa wameganda kimawazo kama wewe ila hivi sasa wame yeyuka. Sasa hivi tupo karne nyingneMawazo mgando haya
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.
hahahahahahah mkuu umenipa raha sanahakuna kilicho baki waje kuchukua bendera zao
Mkuu umeongelea jambo la maana sana nani vizuri tulitilie maanani ila mkuu naomba wiki moja mpaka mbili tuone hali ya hawa wananchi pamoja na mweshimiwa tuta pata ukweli japo na kusupport saana kwa kusema "Watanzania ni wepesi kusahau" naomba mda nione kama wamebadilika ntarudi hapa kukupa jibu mkuu. ShukranNaomba kudeclare interest. Mimi siamini kuwa tutapata rais bora toka CCM hata wakimteua nani. Ila naona kitendo cha kumtema Lowassa na wakifanikiwa kumtema Membe, wapinzani tutakuwa na kazi kweli kweli. Watakaobaki wachache ndani ya CCM watakuwa wamoja na wakichanganya na nguvu ya dola na watendaji wakuu wa ngazi zote serikalini CCM watapata ushindi mkubwa kwa kutumia kura na bao la mkono.
Lowasa hatathubutu kuhama chama maana atapelekewa bill ya kodi ya michango yoote aliyopokea kutoka kwa marafiki zake (Kumbuka waliopata hela ya escrow walidaiwa kodi). Pili, Mawaziri wakuu wanaotakiwa kupata marupurupu ya kustaafu ni wale waliostaafu na sii waliojiuzulu. Lowasa alijiuzulu na si alistaafu. Kama atathubutu kuingia chama kingine haya marupurupu yatakatwa.
Sababu nyingine ni kuwa Watanzania ni wepesi kusahau. Baada ya wiki moja utasikia wale wale waliokuwa kindaki ndaki team lowasa watakuwa kindaki ndaki wa mgombea atakayeteuliwa na jina Lowasa litakuwa limefutika midomoni mwao.
Kwa maamuzi haya ya CCM utashangaa upinzani tusipokuwa makini tutapoteza hata baadhi ya majimbo tulonayo.
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.
Kama bado kuna mtu wa Kaskazini bado yupo Ccm basi akapimwe akiri sio mzima.Ubaguzi wa Ccm kuwabagua watu hao umeonekana.Uvccm pwani walisema Rais hawezi toka Kaskazini kupitia ccm
Naomba kudeclare interest. Mimi siamini kuwa tutapata rais bora toka CCM hata wakimteua nani. Ila naona kitendo cha kumtema Lowassa na wakifanikiwa kumtema Membe, wapinzani tutakuwa na kazi kweli kweli. Watakaobaki wachache ndani ya CCM watakuwa wamoja na wakichanganya na nguvu ya dola na watendaji wakuu wa ngazi zote serikalini CCM watapata ushindi mkubwa kwa kutumia kura na bao la mkono.

Hili neno mkuu