ARUSHA: Msichana akutwa gesti amefariki

Kwahiyo Ulifanyaje Mkuu? Uliitika?
 
Hahaha hasa upate kadem kamezoea goli 1 au 2 tena zile za dakika 10 tu utateseka saana
 
Anatimiza miaka 18 anafunguliwa geti la kuingia duniani mara Jibril anamtwaa! Mungu marehemu.
 
Directly Roho inatokea Guest inaelekea mbinguni.

R.I.P
 
Mh! Yaani umeona MTU kaingia gesti. Unaendamtafuta kwingine kwanza,ukikata tamaa ndio unarudi gest
Hoja ya msingi sana ila sidhani kama wataweza kuijibu
 
Dah, mkuu nimekaa Nimeji - assume ndio yamenitojea haya.. aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani awe hana mazoea ya kulala guest from nowhere tu siku hiyo alale na kufa !??? Haisound kichwani kuna kitu binti amefanyiwa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…