ARUSHA: Msichana akutwa gesti amefariki

Police wanawezaje kusema kifo Cha kawaida?!!!

Mwili wa marehemu ulipelekwa hospitali kuchunguzwa?!!

Postmortem ilifanywa kufikia isemwe kifo cha kawaida?!!
Taarifa za awali (preliminary report) zimesema ni kifo cha kawaida .source mwananchi

"Preliminary Report means a test result that has been reported to the authorized person or laboratory that initially requested the test before the final test result"

Mchawi report ya mwisho
 
mbona hiyo kazi Rais.
Polisi kama gest hause ina CCTV Camera wakaangalie ili kujua aliingia na nani.
Pia wachukue simu yake na laini waipeleke kwenye mtandao husika ili wajue alikua anawasiliana na akina nani. Na mtu wa mwisho kuwasiliana naye ndio huyo mwenye kesi.
Wakikosa simu waende kwa walio sajili vitambulisho vya taifa wachukue jina lake then wapeleke kwenye mtandao wa simu aliokuwa anatumia watapata taarifa zake, kisha watamjua mhusika.
Wakimpata mhusika wafuatilie location ya simu yake watampata tu. wakishindwa wapeleleze kwa marafiki zake wote ilikujua wapenzi wa huyo binti kuanzishia shuleni Hadi mtaani watampata mharifu haraka sana.
 
Wadada wanapelekewa sana moto wengine hawawezi himili vishindo
....kwani huo "moto" unafikishwa katika kuta za moyo,figo na maini?!!

Huo "moto" unababua SELI na TISHU za kusaidia kupumua kwenye mapafu?!

Ama wanakuwa na KIU kikali Cha maji na kusabisha wakate moto?!🤣🤣

Nilimsikia mtu mmoja akisema anautumia MUNDENDE tu ndani ya GUEST zenye AIR CONDITIONERS....
 
....Sure!!
👍
 
Dah,nimecheka japo ni jambo la huzuni
 
Mundende kwa wadada wanaopiga dona na bapa hawa wa kiepe yai na soda afya mgogoro
 
Police wamesema kifo cha kawaida jalada limefungwa hapo
Usiwaamini sana polisi ndugu yangu hizo ni taharifa za awali tu lazima kuna uchunguzi mdogo nyuma ya pazia
 
Sasa mkuu kwanini wahangaike na yote hayo wakati taarifa za awali zimesema binti hajauawa? Hapo inasubiriwa final report kama itaonyesha vinginevyo bas muuaji atasakwa ,
 
...kama ingekuwa SULUBU waipatayo... baada ya jamaa zao kutumia "mundende" basi VIFO vingekua tele huko Tandika,Manzese,Tabata na Mbagala...🤣
Namba za huko hata njemba 3 zikipaka mundende zinaweza himili vishindo
 
Hii habari haijakamilika
 
Mundende kwa wadada wanaopiga dona na bapa hawa wa kiepe yai na soda afya mgogoro
🤣🤣
Ila Mundende banaa...yaani ujana kweli ni nusu ya uwendawazimu....

Ninakumbuka maisha ya CHUO nimeshawahi KUUPAKA na kuufungia ile mifuko ya plastiki iliyokatazwa....yaani nikaenda kuzunguka maeneo ya Mlimani City huku FUKO linanitokotesha tu ndani ili TIBA izame...

Siku hiyo nilijipa GANZI...iliyozidi...baadae jioni ilinitesa sana "tukioni"🤣🤣
 
Miaka 18? Afu tunasema wanabakwaga?



Wale wake za watu mnaoendaga kubanduliwa guest pindi waume zenu wanaangalia mechi za VPL zamu yenu yaja.
Looh kumbe tukiwa tunaangalia VPL dakika kama ya 10 mchezo kuanza turudi haraka majumbani eee?!!

Umenipa somo leo wala siingi kwa MKAPA kuwaangalia Simba...tiketi yangu siijali...ngojea nirudi halafu nisimkute man.nnnninaaa🤣🤣🤣
 
Looh kumbe tukiwa tunaangalia VPL dakika kama ya 10 mchezo kuanza turudi haraka majumbani eee?!!

Umenipa somo leo wala siingi kwa MKAPA kuwaangalia Simba...tiketi yangu siijali...ngojea nirudi halafu nisimkute man.nnnninaaa🤣🤣🤣
Angalia usife maana bado tunakuhitaji
 
Angalia usife maana bado tunakuhitaji
🤣🤣
Kwani hatujui kuwa "wanagawa kwa wengine"?!!!

Aagh tumeoa wanawake(maisha)..hatujaioa "V"...

Ok basi nimekusikia SITOCHUNGUZA huko nisije nikafa....basi siachi kuangalia VPL...ya nyuma huko hayanihusu....akienda..ATAREJEA BANDANI 🤣
 
Mh! Yaani umeona MTU kaingia gesti. Unaendamtafuta kwingine kwanza,ukikata tamaa ndio unarudi gest.

NB: Usione watu wanafeki majina wakiingia gesti,umejaribu kastaili ulikokasikia kwa masela,mtoto wa watu chalii.

Unarara mbere
Mkuu. Usinikumbushe kipindi tunaandika majina feki gesti.
Jina lililopendwa sana Ni la afande mmoja wa jkt mnoko.. kumbe yule mhudumu amenimaki na lile jina kwasababu nimeingia Mara kwa Mara. Sasa siku tunakutana msibani akaniamkia kwa jina feki wakati nimezungukwa na majirani ndugu na jamaa.
 
Ukafanyaje Mkuu? Uliitika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…