Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,011
- 26,157
Manzi wa chuga akishaukalia , mara nyingi hupelekwa kwa mromboo kula mbuzi, ndiyo maana waelewa walianzia kwa mromboo then sakina kwenye kiti-moto na walipomkosa ndiyo wakarudi gestiMh! Yaani umeona MTU kaingia gesti. Unaendamtafuta kwingine kwanza,ukikata tamaa ndio unarudi gest.
NB: Usione watu wanafeki majina wakiingia gesti,umejaribu kastaili ulikokasikia kwa masela,mtoto wa watu chalii.
Unarara mbere
Acha woga mkuu.Safari ya lazma ya akhera hii kwa kila mmoja wetu huwa ikifika tu ni huzuni na simanzi.
Wacha nisikilize kwanza wimbo "Forever Young" wa Jay Z hapa huku nikifuta chozi.
My Condolence
Police wamethibitisha kafa kifo cha kawaida. Ina maana wamejiridhisha hukuingia chumbani na mtu na pia mwili hauna dalili ya kunyongwa wala kubakwa. Wazo la msela kulala mbele unalitoa wapi? Wazinzi bwn....mnawaza hayo tu!!!Inasikitisha ila inawezekana msela kalala mbele..baada ya kuona mwili umeganda
Aah kumbe mtu akiwaza ivo ni mzinziPolice wamethibitisha kafa kifo cha kawaida. Ina maana wamejiridhisha hukuingia chumbani na mtu na pia mwili hauna dalili ya kunyongwa wala kubakwa. Wazo la msela kulala mbele unalitoa wapi? Wazinzi bwn....mnawaza hayo tu!!!
Huwajui policcm wewe hawataki kumtisha muhusika damu ya mtu haiendi bure kuna mtu jumba bovu litamuangukia kuhusu hiki kifoPolice wamethibitisha kafa kifo cha kawaida. Ina maana wamejiridhisha hukuingia chumbani na mtu na pia mwili hauna dalili ya kunyongwa wala kubakwa. Wazo la msela kulala mbele unalitoa wapi? Wazinzi bwn....mnawaza hayo tu!!!
.....terribleBinti wa miaka18 kafia guest !!!
Daahh!!
Ndio maana yake. We umeshapewa uthibitisho na wahusika (Police), bado unawaza mengine!! Mtu husema kile kiujazacho moyo wake!Aah kumbe mtu akiwaza ivo ni mzinzi
Okay, tufanye basi siku hyo aliamua kubalidisha mazingira na kwenda kulala guest ila kwa bahati mbaya yametokea yaliyotokea, hapo je utasemaje? Coz sometimes kulala katika mazingira yale yale inachosha na pengine angekuwa na uwezo angechukua hoteli hvyo angefia hotelini sidhani kama kuna mtu angemuhisi vibaya, coz kile kinachofanyika Guest kinaweza kufanyika Hotelini pia utofauti unakuwa ni mdgo tu kati ya sehemu hzo mbiliHuyo Ni mwenyeji wa hivyo viunga ndio maana alitafutwa na nduguze mitaani walipoona hawajampata wakaelekezwa na mtu aliye muona akiwa anaingia guest ...so hakuwa mgeni kama jinsi ambavyo wewe unavyotaka ieleweke
Nimesema nnachofikiriaNdio maana yake. We umeshapewa uthibitisho na wahusika (Police), bado unawaza mengine!! Mtu husema kile kiujazacho moyo wake!
TumezipokeaPoleni wafiwa
Police wamesema kifo cha kawaida jalada limefungwa hapoMwanaume aliyewasiliana nae mara ya mwisho jumba bovu litamuangukia
Police wanawezaje kusema kifo Cha kawaida?!!!Police wamesema kifo cha kawaida jalada limefungwa hapo
...aamin aaamin.Nimapema sana kumuhukumu ,tuliobaki tumuombe Mungubhasa tuwe na mwisho mwema
Mtoto mdogo watu bado wakampakia mkongo..Huzuni sana ..bado mdogo kabisa