Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Hapo ukute ulikua unamsalimia tuu, halafu chatting za nyuma ukawa unaomba mkutane.Mwanaume aliyewasiliana nae mara ya mwisho jumba bovu litamuangukia
Utajua hujui akiiHapo ukute ulikua unamsalimia tuu, halafu chatting za nyuma ukawa unaomba mkutane.
Asalaaalee,
Inasikitisha ila inawezekana msela kalala mbele..baada ya kuona mwili umegandaBinti wa miaka18 kafia guest !!!
Daahh!!
Huzuni sana ..bado mdogo kabisaInasikitisha ila inawezekana msela kalala mbele..baada ya kuona mwili umeganda
Kweli kabisaaHuzuni sana ..bado mdogo kabisa
Asa apo inatokeaje pale vumbiVijana punguzeni matumizi ya vumbi la congo
Kwani kuna ubaya gani? Shida sio kufia guest tatizo unafia hapo ukiwa na mpango gani, kwa mfano ww umesafir katika mji ambao huna ndugu ukaamua kuchukua guest ili usiku upite ila kwa bahati mbaya ukafia humo! Hapo kutakuwa na ubaya???Binti wa miaka18 kafia guest !!!
Daahh!!
Wadada wanapelekewa sana moto wengine hawawezi himili vishindoAsa apo inatokeaje pale vumbi
Huyo Ni mwenyeji wa hivyo viunga ndio maana alitafutwa na nduguze mitaani walipoona hawajampata wakaelekezwa na mtu aliye muona akiwa anaingia guest ...so hakuwa mgeni kama jinsi ambavyo wewe unavyotaka ielewekeKwani kuna ubaya gani? Shida sio kufia guest tatizo unafia hapo ukiwa na mpango gani, kwa mfano ww umesafir katika mji ambao huna ndugu ukaamua kuchukua guest ili usiku upite ila kwa bahati mbaya ukafia humo! Hapo kutakuwa na ubaya???