sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Sinoni wameshaweka maji, nipo Starehe bar huku mtaa wa madadii Ngarenaro napata ya "kibosho kavu!" Mwambie mgeni karibu.
Hahahaha....ningeshangaa ulale bila kupata kibosho kavu lol.... Mgeni atakuwa keshakusoma hapa