asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Funga milango,komeo,na vitasa vya viro,kuna maandamano usitoke kabisa.
hujasikia sauti ya mlipuko maana waarachuga hawakawii kurusha mabomu ya mkono hawambona sijayasikia mkuu,,,,,,,,, yaani mji uko safi na shwari kabisaaaaaaaaaa
Leo ni via-via mkuu.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mkuu nitakupataje hapo via-via.........?
Karibu sana Arusha, ukiona jia moja ina polisi na nyingine inanyoka tafadhali pita kwenye nyoka maana polisi wamechafukwa na roho wana mabomu bastola na SMG kwa ajiri ya watanganyika...Habari wanawaarusha!!!!!!!!!
home sweet home............
nimeingia jana hapa mjini , na jana nilikuwa SK Bar , Baadae nikawa Moonlight Bar........
leo sijajua itakuwaje , kwani mpaka sasa nipo nyumbani tu..........ila kutoka lazima.
kesho kwenye saa saba nitaenda pale kwenye uwanja wa SOWETO palipotokea mauaji ya kigaidi dhidi ya haki na raia wasio na hatia.......
cc; Arushaone Daudi Mchambuzi, Mungi , Philipo, Preta , marejesho bauer Crashwise na wengineo.
Mkuu hivi mida hii tutakuta mbege kweli...Karibu sana aisee!
Habari wanawaarusha!!!!!!!!!
home sweet home............
nimeingia jana hapa mjini , na jana nilikuwa SK Bar , Baadae nikawa Moonlight Bar........
leo sijajua itakuwaje , kwani mpaka sasa nipo nyumbani tu..........ila kutoka lazima.
kesho kwenye saa saba nitaenda pale kwenye uwanja wa SOWETO palipotokea mauaji ya kigaidi dhidi ya haki na raia wasio na hatia.......
cc; Arushaone Daudi Mchambuzi, Mungi , Philipo, Preta , marejesho bauer Crashwise na wengineo.
Funga milango,komeo,na vitasa vya viro,kuna maandamano usitoke kabisa.
Heheehehe.... Umeanza lini kunywa mbege? Mwambie Filipo akupeleke mitaa ya sinoni anajua panapouzwa mbege nzuri, ila usijesema sijakuonya