Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,901
Asante Mkuu. Tuna unga mkono juhudi na uzalendo mkubwa sana wa Mh. Magufuli.
Humu wauza unga wanampinga kwa kila jambo.
Asante mkuu,
Asante Mkuu. Tuna unga mkono juhudi na uzalendo mkubwa sana wa Mh. Magufuli.
Humu wauza unga wanampinga kwa kila jambo.
Frent poge...wewe si uripoti habari nzuri tuchangie.
huna tofauti na boss wako anayetaka wandishi wa habari wamwandike yeye kwenye front page halafu wamsifie hata kama anachokifanya ni uchuro. kakasa mvuto kama bar-maid.
Sijui kama umesoma vizuri, wakenya 12 ndio wanaoshikiliwa na polisi, kwa hasira mamia ya watanzania wanaoishi Kenya wamepigwa na kurushwa vichura kurudishwa TZ, Mali zao zimechukuliwa kinguvuTilipigwa Msumbiji, nasi tunapiga Kenya.
Mkemia hataki diplomasia
Haki zipi za msingi? Kuishi Tanzania bila necessary documents ni haki ya msingi ya Wakenya?haya ndio madhara ya serikali ya tanzania kufanya kazi kijuha pasipo kuelewa kwamba wakenya wapo makini sana katika kutetea haki zao za msingi.
Free movement of persons doesnt work like that. Hata kwenye itifaki ya soko la pamoja la Afrika Mashariki kuna kipengele kinachosema all four freedoms will be exercised SUBJECT TO NATIONAL LAWS of the member statesTanzania ilisaini mkataba wa free movement of persons Afrika Mashariki. Utekelezaji umetushinda.
Free movement of persons EA ipo kwenye makabrasha tu. On the ground Hakujabadilika chochote tangu kusainiwa itifaki.Free movement of persons doesnt work like that. Hata kwenye itifaki ya soko la pamoja la Afrika Mashariki kuna kipengele kinachosema all four freedoms will be exercised SUBJECT TO NATIONAL LAWS of the member states
Mkuu nakuambia kwamba tanzania ni nchi ya kitutusa sana. Huwezi kuifananisha na nchi kama Kenya, Uganda au Rwanda.Haki zipi za msingi? Kuishi Tanzania bila necessary documents ni haki ya msingi ya Wakenya?
Yan dereva WA Dar hawezi kabisa kuendesha gari Nairobi kutokana na miundombinu na population ya kule, hatuwezi shindana na Kenya kwa lolote, Kenya wapo juu Sana kimaendeleo, na huwa wana maamuzi, wakiamua wameamuaMkuu nakuambia kwamba tanzania ni nchi ya kitutusa sana. Huwezi kuifananisha na nchi kama Kenya, Uganda au Rwanda.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Bado zipo kwenye matengenezoNataka ya chato!
full handac