Gongo yenyewe na mirungi wakichukua wanaenda kuuza tena kwa bei chee! Kuna mtu alishaniambia huwezi kuwa na rafiki polisi, lazma akuchome siku japo kwa wenzie! Naamini kwa dhati sasa!
Bado waende kwa machalii wa ngalelo..hapo ndo kitaeleweka
kwanza hao polisi wameshasoma ule waraka wa tanzania daima?