Uchaguzi 2020 Arusha Mjini: Lema Vs Gambo; Lema atashinda mapema mno

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Nasikia fununu kuwa Gambo huwenda akachukua fomu kwa tiketi ya CCM kugombea ubunge wa Arusha mjini.

Kwa hali ilivyo nnapata Uhakika 100% sana Gambo hawezi kushinda katika uchaguzi huo, tukumbuke kua tayari Gambo ana kidonda kibichi kabisa cha kutumbuliwa na Raisi, hivyo basi kama Raisi ameona hufai.

Je, wananchi utawaambia nini? Gambo pia si mzoefu wa siasa za majukwani, hapa pia Lema atatumia uzoefu wake kupita na Gap.

Trust me, ikitokea mtinange ukawa kati ya Lema Vs Gambo, basi mapema mnoo Lema ananyanyua Kikombe.
 
Huyo Gambo awe mbunge wa nani , mm ni mkazi wa Arusha hapa kaloleni naijua in and out ,

Kiufupi tu Gambo hana uwezo wowote wa kupamban na lema ,

Hii ni Arusha mzee tunaijua wenyewe huyo gambo atapigwa asubuhi tu ohoooooooo!!! Lema hajaanza leo and tunamchagua lema kwakuwa katekeleza wajibu wake vizr and tunajua uovu wote unaofanywa na ccm , hawatutishi katu asilani abdani
 
Nasikia fununu kuwa Gambo huwenda akachukua fomu kwa tiketi ya CCM kugombea ubunge wa Arusha mjini.

Kwa hali ilivyo nnapata Uhakika 100% sana Gambo hawezi kushinda katika uchaguzi huo, tukumbuke kua tayari Gambo ana kidonda kibichi kabisa cha kutumbuliwa na Raisi, hivyo basi kama Raisi ameona hufai.

Je, wananchi utawaambia nini? Gambo pia si mzoefu wa siasa za majukwani, hapa pia Lema atatumia uzoefu wake kupita na Gap.

Trust me, ikitokea mtinange ukawa kati ya Lema Vs Gambo, basi mapema mnoo Lema ananyanyua Kikombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha woga wewe.,mbona moyo unakuenda kasi hivyo,subiri dawa ikuingie...
 
Matokeo yatabandikwa saa tisa usiku.asubuhi mkiamka mnakuta mkeka ukutani umetiki Gambo kapasua.
 
Back
Top Bottom