DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Wanaukumbi.
Tar 25 octoba halmashauri ya jiji inaenda kuongozwa na CHADEMA.
Hakuna hata kata moja inayoenda CCM.
Sio Moivaro wala Olasiti, sio Sekei wala Terrat.
Jana katika mkutano wa mawakala wamekubali kuwa hali ni mbaya.