Arusha ,mji ulionifanya kukosa amani.

Arusha ,mji ulionifanya kukosa amani.

Nimesema hivyo kutokana na utata wa sentensi na tukio.

Sasa mwanaume unafika bar tu upewe ofa ya fasta afu unakua mpole?

Anataka kuondoka anasimamishwa anasifiwa umbo? Siriaz?

Mara akapigwa picha (angalia jinsi alivyolalamikia picha)

Na wanaume hatukai nayo, ukifika maskani au popote unalielezea tunacheka yanaisha.

Uandishi una walakini sana.
Acha kuwaza wanawake ,uandishi unaeleza kikichotokea wewe unawaza uke.
 
Kwani humu mnakutana physically!? Hata ID zenyewe ni feki!! Unapataje hofu humu Mkuu!!?
Bora hata umemwelewesha maana naona watu wengine hawajui nini maana ya kuwasilisha kitu kwa umma unaokufahamu na ule usiokufahamu.
 
Hapo arusha kipindi hicho 2010 niko form five pale Ilboru, nilikutana na fala mmoja (mtu mzima ana kitambi hivi very smart) anabonga kingereza akaanza kunichangamkia. Salam za hapa na pale mara kaanza kunisogelea huku akinisifia nilivojengeka na nilivo na mvuto. Mara sijakaa sawa anaanza kunitolea macho namna suruali yangu ilivotuna kwa mbele huku akitaka kunipapasa hayo maeneo. Akili ikanijia kuwa huyu mtu atakuwa punga ama tapeli tu. Nilipompa kisogo sikugeuka tena nyuma. Kweli Arusha sio sehemu salama kiviiile. Umakini unahitajika
Kiukweli kama kizazi kimefika huko basi watoto wetu tuwaandae mapema kukabiliana na hii hali.
 
Mi bado nashangaa kwamba jamaa wanakung'ang'ani kiasi hicho bila kukwachia. Hii ni kwa sababu waligundu moja ya weakness yako ni kukataa kwa woga na kumpatia mtu usiye mjua muda wa ku-burgain mambo ambayo hauko tayari kufanya.
Aidha walikwona una kauoga au ushamba fulani kwa mwonekano labda pamoja na kutokuwa na comfidance wewe mwenyewe.
Ni dharau kubwa mtu humjui kuendelea kukuandama mara kadhaa mpaka kukuita mbele ya rafiki zake na wewe ukakubali kwenda japo hukutaka tena ukalazimishwa kupigwa picha bila kuonyesha upinzani. Huo ni udhaifu mkubwa sana.
Kuna mazingira unajiweka mpaka mtu anakuchukulia poa na kukudharau.

Binafsi huwa sitoagi fursa ya mtu nisiye mjua kunishobokea bila sababu ya msingi!
Huwa ninatoa muda pia kujua lengo la mtu sikuweza kuonesha ujinga wang ila nilitaka kujua lengo lao ni nn ila zaid kilichonisangaza ni picha zile.
 
Back
Top Bottom