Arusha: Mfanyabiashara afariki kwenye ajali ya gari

Arusha: Mfanyabiashara afariki kwenye ajali ya gari

Hizi habari za kuvunjiana kadi na ajali na vifo vyote kwenye uzi mmoja naona kama ni too much information inayopelekea hukumu na kuonyesha kama vile marehemu alikuwa ni mtu mtata sana

Anyway RIP
Kabisa ,, na hawezi tu kuvunja kadi lazima kuna sababu nyuma yake ,mwandishi hapa kaonyesha uchochezi wa kufurahishwa na kifo
 
KIGOGO AFARIKI KWENYE AJALI ARUSHA,TAJIRI ALIYEMVUNJIA MWANDISHI KADI ALAZWA ICU KWA KUJERUHIWA VIBAYA

Mfanyabiashara ,Cuthbert Temba (pichani) anayemiliki CET GARDEN iliyopo kwa mrefu barabara kuu ya Moshi Arusha ,amefariki dunia yeye na dereva wake wakitoka kwenye maziko Old Moshi Mkoani Kilimanjaro .


Wengine waliokumbwa na ajali hiyo ni pamoja na mfanyabiashara maarufu, Mekline Temu maarufu kwa jina la DENSO na Ngarasoni ambao wapo mahututi hosputalini wakipatiwa matibabu.

Katika ajali hiyo iliyotokea maeneo ya kwa Mrefu Arusha ni eneo hilohilo ambapo alifia mtoto wake akiwa na mchumba wake huku ikielezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni kwamba mtoto huyo akiwa na mpenzi wake walikuwa wamelewa

Ikumbukwe kuwa Denso aliyepata ajali nakulazwa ICU alishirikiana na watoto wake kumletea vurugu Mwandishi wa Ayo Tv Arusha nakumvunjia kadi yake ya camera akizuia kutokuripoti habari hiyo ambayo ilikuwa na utata

Tajiri huyo ambaye amekuwa mtata alipata ajali akiwa anatokea kwenye Mazishi ya mzee mshiu wa TFA huku taarifa zikiwa zinadai kwamba walikuwa wamelewa kwenye gari hiyo ndogo ambayo imeua watu wawili hapohapo nakujeruhi wengine
Pombe sio chai! Misiba inapokuwa fursa ya watu kupewa mwanzoni mwisho, hainiingii akilini!
 
Screenshot_20230410-211250.png

Marehemu Temba
 
hata mimi Nangu nyau nikienda kuishi Arusha nitaitwa Trilionea maana nikiangalia ninavyomiliki ndio mali za mabilionea wa Arusha na zaidi.
 
Back
Top Bottom