Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Kalist Lazaro,baadhi ya Madiwani,katibu wa Mbunge,viongozi wa dini pamoja na walimu bado wanashikiliwa na Jeshi la polisi tangu wakamatwe jana katika shule ya msingi Lucky Vincent kwa amri ya Mkuu wa Mkoa.
Ikumbukwe Kalist Lazaro ndiye alieshinda tuzo ya Meya bora tanzania nzima "MAYOR AWARD"
Ikumbukwe Kalist Lazaro ndiye alieshinda tuzo ya Meya bora tanzania nzima "MAYOR AWARD"