PreGE2025 Arusha: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Arusha.jpg

HISTORIA YA MKOA WA ARUSHA
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Kiutawala Mkoa unao Wilaya 6 na Halmashauri 7, Tarafa 23, Kata 33, Vijiji 393, Mitaa 154 na Vitongoji 1471.

Idadi ya watu kwa ongezeko la 2.7% kwa mwaka na inakadiriwa kufikia jumla ya watu wapatao 1,835,787 ambapo wanawake wakiwa sawa na 51.5% na wanaume 48.5%

Mkoa wa Arusha umepakana na Mkoa wa Manyara kwa upande wa Kusini, upande wa Mashariki umepakana na Mkoa wa Kilimanjaro, kwa upande wa Kaskazini umepakana na Nchi ya Kenya na kwa upande wa Magharibi umepakana na Mkoa wa Simiyu na Mara

Pia, soma: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025

Uchaguzi wa mwaka 2025 unatarajiwa kuwa wenye ushindani tofauti na ule uliofanyika mwaka 2020. licha ya matukio kadhaa yanayotishia demokrasia nchini vyama vya siasa vimeendelea kufanya maandalizi kuelekea uchaguzi huo ikiwemo kufanya mikutano ya hadhara katika maeneo mengi.

MAJIMBO YA KIUCHAGUZI
Katika muktadha wa kisiasa, Mkoa wa Arusha umegawanyika katika majimbo saba (7) ya uchaguzi, ambayo yana jukumu muhimu katika kuwakilisha maslahi ya wananchi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Majimbo haya ni yafuatavyo:
  • Arusha Mjini
  • Longido
  • Karatu
  • Ngorongoro
  • Arumeru Mashariki
  • Arumeru Magharibi
  • Monduli

MATOKEO YA UCHAGUZI WA 2020
Wabunge ambao walichaguliwa katika majimbo ya uchaguzi yanayopatikana katika mkoa wa Arusha asilimia 100% walitoka Chama cha Mapinduzi, huku uchaguzi huo ukidaiwa kutokuwa huru na haki kutokana na kukandamizwa kwa vyama vya upinzani.

Haya ni Matokeo ya idadi ya kura walizopata wagombea katika majimbo ya uchaguzi yaliyopo mkoa wa Arusha.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Arumeru Magharibi, wagombea walikuwa John Emanuel Kivuyo wa ACT-Wazalendo, aliyepata kura 2,492, Noah Lemburis Saputu Mollel wa CCM, aliyepata kura 72,160, Ole Meiseyeki Gibson Blasius wa CHADEMA, aliyepata kura 22,743, Arafa Mohamedy Muya wa CUF, aliyepata kura 329, Mch. Laizer Loilole Wilson wa NCCR-Mageuzi, aliyepata kura 323, na Tumaini Andrea Akyoo wa UPDP, aliyepata kura 169. Mgombea aliyeshinda ni Noah Lemburis Saputu Mollel wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Arumeru Mashariki, wagombea walikuwa Dkt. Pallangyo John Danielson wa CCM, aliyepata kura 84,858, na Rebecca Michael Mngodo wa CHADEMA, aliyepata kura 14,688. Mgombea aliyeshinda ni Dkt. Pallangyo John Danielson.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Arusha Mjini, wagombea walikuwa Husna Tomasi Kundi wa AAFP, aliyepata kura 831, Shayo Polycarp John wa ACT-Wazalendo, aliyepata kura 384, Zuberi Mwinyi Hamisi wa ADA-TADEA, aliyepata kura 249, Mathayo Richard Membi wa CCK, aliyepata kura 245, Gambo Mrisho Mashaka wa CCM, aliyepata kura 82,480, Lema Godbless Jonathan wa CHADEMA, aliyepata kura 46,489, Magdalena Loonjumuya Shangay wa CUF, aliyepata kura 177, Elisante Michael Mjema wa Demokrasia Makini, aliyepata kura 57, Elizabeth Geofrey Sembuche wa DP, aliyepata kura 33, Mkama Rashid Jaralya wa N.R.A, aliyepata kura 57, Heftsiba Reward Kiwelu wa NCCR-Mageuzi, aliyepata kura 77, Simon Johnson Bayo wa SAU, aliyepata kura 88, Alfred Nicolas Mollel wa UDP, aliyepata kura 66, na Happy Eliasi Sumari wa UPDP, aliyepata kura 80. Mgombea aliyeshinda ni Gambo Mrisho Mashaka wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Karatu, wagombea walikuwa Constantine Kanso wa ACT-Wazalendo, aliyepata kura 803, Awack Daniel Tlemai wa CCM, aliyepata kura 49,042, Cecilia Daniel Paresso wa CHADEMA, aliyepata kura 31,150, Emmanuel Patrick Qaymo wa CHAUMMA, aliyepata kura 424, Joseph Jacob Paulo wa NCCR-Mageuzi, aliyepata kura 127, na Joseph Cresent Balde wa NLD, aliyepata kura 140. Mgombea aliyeshinda ni Awack Daniel Tlemai wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Longido, wagombea walikuwa Steven Lemomo wa CCM, aliyepata kura 61,885, Paulina Lukas Laizer wa CHADEMA, aliyepata kura 1,037, Mkadam Kombo Mkadam wa CUF, aliyepata kura 65, na Feruziy Juma Feruziyson wa N.R.A, aliyepata kura 21. Mgombea aliyeshinda ni Steven Lemomo wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Monduli, wagombea walikuwa Khalfan Chogga wa ACT-Wazalendo, aliyepata kura 485, Fredrick Edward Lowassa wa CCM, aliyepata kura 72,502, Cecilain Samson Ndossi wa CHADEMA, aliyepata kura 4,637, na Adam Mohamed Kijuu wa N.R.A, aliyepata kura 145. Mgombea aliyeshinda ni Fredrick Edward Lowassa wa CCM.

Katika Jimbo la Uchaguzi la Ngorongoro, wagombea walikuwa Supeet K. Olepuruko wa ACT-Wazalendo, aliyepata kura 1,080, William Tate Olenasha wa CCM, aliyepata kura 63,536, na Jacqueline Aisaa Swai wa CHADEMA, aliyepata kura 7,983. Mgombea aliyeshinda ni William Tate Olenasha wa CCM.

YANAYOJIRI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025

JANUARY

  1. Arusha: Wananchi wakasirika wamvaa Mbunge Gambo mkutanoni "Unatuangusha, sisi tunakufa"
  2. Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha
  3. Kuelekea 2025 - Mbunge Arumeru Magharibi azomewa msibani, asema wananchi wasitake laana kwa kumzomea kiongozi!
  4. Ulega katika kikao kizito na Makonda na Mrisho Gambo, akituliza hali baada ya kurushiana maneno
  5. Sakata la Makonda na Gambo Zitto amchana Gambo kuhudhuria vikao asifikiri kuna kupita bila kupingwa kama 2020
  6. Diwani Arusha: Mbunge Mrisho Gambo ni matatizo tunayotembea nayo, hafai
  7. Lema: Sitagombania ubunge Arusha mjini
  8. Arusha: Paul Makonda atoa pikipiki 20 kwa Jeshi La Polisi ili kuimarisha Ulinzi na Usalama
  9. Wamasai Monduli wampongeza Rais Samia kupitishwa na Chama, Wapinga madai ya fidia ya eneo la mazoezi ya Kijeshi

FEBRUARY
  1. Mwenezi CCM mkoa wa Arusha: Arusha tutampa kura za kishindo Rais Samia
  2. Mrisho Gambo: CHADEMA Wakisusa, sisi twala
  3. Dkt. Mpango: Nimeamua kukaa kando kwa hiari na kuwaachia wengine waendeleze gurudumu la kumsaidia Rais Samia
  4. Makonda: Watu waliofanikiwa kwa fedha za ushoga moto wa Mungu utawashukia. Mungu amtunze Trump!
  5. Mwana FA asema Gambo ana kila sababu za kuendelea kuwa Mbunge wa Arusha
  6. Makonda: Pesa za mafao ya ubunge tusiwape wajumbe, karibuni kuwekeza Arusha
  7. Arusha Mjini: Mrisho gambo azungumza na wazee kuhusu uhamasishaji wa kutoa elimu nishati safi
  8. Mrisho Gambo: CCM tumekaa tumesema sisi 2025 mgombea wetu ni Dkt. Samia, wewe yasiyokuhusu unapiga porojo unapoteza muda
  9. Wazee wataka uwakilishi Bungeni na ngazi nyingine za kimaamuzi
  10. Hadi wazee sasa nao wamekuwa chawa, waunga mkono 'mitano tena' kwa Rais Samia
  11. Mrisho Gambo: Godbless Lema aliniambia mzigo anaoupiga Rais Samia umenifanya hata hamu ya kugombea iniishe
  12. Ramsey: CCM Arusha Mwiko kusema mitano tena kwa mbunge na diwani
  13. Wananchi Arumeru Magharibi wasema mbunge wao ni mzigo, ameshindwa kutekeleza ahadi ya ujenzi wa barabara
  14. Arusha: CHADEMA yakutana na Mashehe na kufanya nao Mazungumzo
  15. Heche: CCM wanaishi kwa kuviziana hawawezi kufanya uchaguzi kama wa Chadema
  16. Heche amtembelea muasisi wa Chadema, Mzee Ewdin Mtei
  17. John Heche: CCM haitaki uchaguzi, Makalla akisema 'hatujajiandaa' aulizwe kwa nini wanaengua wagombea
  18. Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Kaskazini: Nitawashughulikia wote wasiomkubali Lissu
  19. Msajili wa Vyama vya Siasa ameupa Siku 7 Uongozi wa TLP kujibu madai ya ukiukwaji wa Katiba, Kanuni za Chama hicho
  20. Kwa hii collabo ya Meya Max na RC Makonda, Gambo hachomoki
  21. Mrisho Gambo hauhitajiki tena Arusha, Mwachie Paul Makonda
  22. Gambo Vs Makonda: Gambo asema anayetaka Ubunge Arusha aje uwanjani aone kama ngoma ya kitoto inakesha
  23. Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"
  24. Arusha: Waziri mkuu awasema viongozi wanaojipanga na kugombania vyeo
  25. Makonda: Dalili mojawapo ya umasikini ni majungu na fitina
  26. Arusha: RC Makonda aiagiza TAKUKURU kumhoji Mrisho Gambo upotevu wa Tsh. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda
  27. CCM Arusha yapinga Madiwani kumpigia Debe Makonda, yatoa Onyo kali
  28. Polisi wilaya ya Arusha, waaswa kujipanga kusimamia uchaguzi mkuu

MARCH
  1. Viongozi wa bodaboda Arusha wasema wana mashaka na Gambo sakata la Milioni 400
  2. Mawakili wa Samia Legal Aid kusimamia kesi za wananchi mahakamani
  3. Makonda: Kuanzia kesho (Machi 3) kila Mwanaume hapa Arusha am-post mpenzi wake
  4. Ligi Kuu ya Wanawake yasimamishwa kupisha Samia Women Super Cup
  5. RC Makonda amsapoti muuza nyanya kwa kumpa shilingi laki moja
  6. Bibi wa miaka 74 apewa bajaji na Tv na RC Makonda
  7. Arusha Saccos yamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Makonda, Mkuu wa Mkoa mchapakazi na Mbunifu
  8. Tazama ofisi ya Makonda yageuka kuwa uwanja wa mazoezi, mamia wafurika kupiga yoga
  9. Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi
  10. RC Makonda amsapoti muuza nyanya kwa kumpa shilingi laki moja
  11. Makonda: Rais Samia amelipia gharama zote za Samia Legal Aid, wananchi msiwe waoga kudai haki zenu
  12. Tazama ofisi ya Makonda yageuka kuwa uwanja wa mazoezi, mamia wafurika kupiga yoga
  13. Arusha Saccos yamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Makonda, Mkuu wa Mkoa mchapakazi na Mbunifu
  14. Mbio za Magari kumpokea Rais Samia Arusha, Sherehe za Siku ya Wanawake
  15. Makonda hana jambo dogo, Ng'ombe zaidi ya 400 za chinjwa Arusha ni mwendo wa kula nyama choma bure
  16. Mrisho Gambo: Rais Samia anaishi 4R kupitia Samia Legal Aid
  17. Makonda: Arusha itaongoza kwa kura nyingi za Rais Samia
  18. Katibu Mwenezi Arusha, Saipulani Ramsey: 'No Reform No Election' ni kachumbari tu inayochagizwa kuliwa kwa Pilau
  19. Arusha: Katibu mwenezi abainisha kuwa rushwa bado ni tatizo ndani ya CCM
  20. Makonda awatafutia vijana nafasi 1000 za kusoma nchini lndia. Huyu kijana ni kiongozi mbunifu sana, Rais Samia mtumie vizuri Makonda
  21. Paul Makonda aomba mashindano ya Quran ya Alhikma yakafanyike Arusha, ahaidi usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake
  22. Paul Makonda: Nawaonya wafanyabiashara wa Arusha msipandishe bei za bidhaa kwa kigezo cha mwezi wa Ramadhan
  23. Fredrick Lowassa: Serikali ya Rais Samia imetoa takribani shilingi Bilioni 37 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji wilayani Monduli
  24. Taasisi ya Kiislam Twarika Zawiya yamshukuru Rais Samia kwa kuwapatia fedha za kufuturushi kwenye mfungo wa Ramadhan
  25. Arusha: Serikali yafanya uboreshaji barabara ya Namanga – Sinonik – Mairouwa
  26. Arusha: Katibu mwenezi abainisha kuwa rushwa bado ni tatizo ndani ya CCM
  27. Kamati ya hesabu za serikali yatembelea na kuonyesha kuridhishwa na mradi wa kufua umeme wa Kikuletwa
  28. VIDEO: Mama amchana kiongozi wa TARURA bila uoga, amwambia 'acha uongo, unafiki hatutaki sisi Wananchi'
  29. Gambo afuturisha Arusha, asema anajivunia kuwa sehemu ya shughuli hiyo ya kujenga jamii iliyojaa huruma na upendo
  30. Viongozi wa dini Arusha wamuombea Dua, Mrisho Gambo na Rais Samia
  31. Prof. Kabudi: Rais Samia ni matunda ya waasisi wa Tanzania
  32. Prof. Kabudi: Ukiona Wanasiasa Wanazunguka Mikoani Basi Ujue Wamepewa Uhuru na Demokrasia Inafanya Kazi Kupitia 4R za Rais Samia
  33. Mongella awataka Wanachama wa CCM kudumisha amani kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025
  34. Gavu: Hakuna Mgombea Udiwani atakayeonewa

APRIL
1. Damas Ndumbaro: Mama Samia Legal Aid imewafikia wananchi zaidi ya milioni mbili
2. Mrisho Gambo atoa msaada kwa wajasiriamali Arusha mjini, waimba 'Dear Gambo hatudanganyiki'
3. Wananchi Arusha mjini watishia kususia kupiga kura uchaguzi mkuu 2025, 'Mbunge ametudanganya kama watoto, tumechoka'
4. Mrisho Gambo: Naibu Waziri upo tayari kujiuzulu?
5. Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni
6. Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha: Makonda ni Mnyamwezi wetu! Amebeba mizigo mingi; ushirikina, roho mbaya - vyote tumevuka!
7. Meya jiji la Arusha: Mrisho Gambo ndiye anayemchokoza Makonda, ni mgomvi kwa kila mtu
8. RC Makonda: Barabara Arusha ni ajenda ya kila kiongozi kuanzia ngazi ya mtaa

9. Meya jiji la Arusha: Siyo kwamba Gambo anaonewa ukweli ni hahudhurii vikao, na akihudhuria anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka
10. Waziri mkuu: Serikali tutahakikisha uchaguzi unakuwa wa amani na utulivu, Tume huru ya uchaguzi wametuambia watausimamia kwa uhuru, haki na uwazi
11. Prosper Tesha: Wachimbaji madini tumekubaliana kura zetu zote ni kwa Rais Samia
12. Ukweli Vs Uchawa: Mbunge Gambo Kumwaga Mboga Sakata la Rushwa Arusha, RC & Waziri Waandae Majibu Mengine

MAY
JUNE
JULY
AUGUST
SEPTEMBER
OCTOBER
 
Mambo ni moto sana Arusha. Kugombea against Mkuu wa mkoa ni ngumu sana, mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa ni hatari nyingine. Gambo afikirie cha kufanya kingine kilichotokea bungeni ni kielelezo kuwa Makonda anamkono mrefu zaidi yake amedhalilishwa sana aachie hili lipite.
 
Weka na waliopita upande wa viti maalum
 
Back
Top Bottom