nkyalomkonza JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 1,154 Reaction score 444 May 21, 2013 #1 Mi binafsi nategemea sana kusikiliza bunge nikiwa ofisini kupitia hii radio ya Online. Lakini hivi karibuni imekuwa haieleweki mara wapo hewani , mara hawapo. Naomba wahusika watuambie nini tatizo? au wamechimbwa mkwara na Magambaz??
Mi binafsi nategemea sana kusikiliza bunge nikiwa ofisini kupitia hii radio ya Online. Lakini hivi karibuni imekuwa haieleweki mara wapo hewani , mara hawapo. Naomba wahusika watuambie nini tatizo? au wamechimbwa mkwara na Magambaz??