Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha Mjini inatarajia kusilikiza maombi ya rufaa ya dhamana ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema siku ya ijumaa tarehe 03.03.2017 mbele ya Jaji Magimbi...
==============
Baada ya jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa kutoa karipio kali siku ya Jana dhidi ya Ofisi ya DPP Baada ya mawakili wa upande wa Jamuhuri kuondoa Rufaa yao,Mahakama hiyo ya Rufaa ilitoa uamuzi kwamba kesi hiyo irudishwe Mahakama Kuu ili iweze kumpatia dhamana Mbunge wa Arusha Mjini.
Hivyo basi uamuzi wa dhamana dhidi ya Mbunge wa Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema
utatolewa siku ya ijumaa tarehe 03.03.2017,uamuzi huo utatolewa na Jaji Magimbi .