Arusha kwazidi kufukuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha kwazidi kufukuta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Mar 1, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Leo katika kikao kati ya Rc wa Arusha,madiwani,watendaji wa kata,na wenyeviti wa mitaa,kumetokea malumbano makubwa kati ya Rc na madiwani wa chadema,hali hiyo ni baada ya RC kusisitiza kuwa uchaguzi wa meya ni halali,baada ya matamshi hayo kuliibuka vuta nikuvute hadi kufikia kutishiana,Madiwani wa chadema wasema wazi kuwa hawaogopi,hawataogopa,watapambana hadi kieleweke,ha
  li iliyomfanya Rc atishie kutumia dola kuwadhibiti.......
  Wakati huo huo chadema wanajiandaa kufanya mkutano jumamosi
   
 2. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyo RC alifikiri kwamba baada ya Pinda kusema uongo ndo watu wamekubali? Nidhamu ya uoga imeshapitwa na wakati
   
 3. Panga la Yesu

  Panga la Yesu JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  A Town ipo Kazi hadi kieleweke!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hv ccm wanaitakia nini nchi hii kwani kunauadui gani na cdm kiasi kwamba washindwe kukaa na kumaliza haya mambo TUMECHOKA JK ACHA KULIALIA FANYA KAZI WEWE!
   
 5. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kazi kweli kweli. umbumbumbu na ukasuku. Kumfurahisha PM kuwa anaungwa mkono na wakuu wake wa mikoa. Nao wanaingia mtegoni kusema uongo huo huo.
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Huyu RC ni mzima? Au ni cerebral malaria
   
Loading...