Arusha kwa sasa KWISHNEY!

We unasema Arusha. Nchi imekwisha hii, kila kona ukienda watua ni wakali kweli. Hali ni mbaya kweli kweli. Utapeli umezidi, yaani nashukuru tu kuna amani.

hakuna amani bali ujinga ndiyo umezidi
 

well elaborated. Kwa kuongezea sera mbovu za ubinafsishaji wa rasilimali zetu hasa madini ya Tanzanite ndizo zilizochangia uchumi wa wana-Arusha kudorora. Sasa hivi vijana wengi wameacha kuchimba Tanzanite kwa sababu vitalu vyenye madini mengi wamepewa wazungu. Lawama za kwanza zielekezwe kwa CCM kwa kushindwa kusaidia watanzania. Ndio maana wana-Arusha wameamua kuikataa CCM
 

Nenda shule ikusaidie kuchangia maana analysis yako finyu mno au uliandika wakati unavuta chooni ?
 

Sio Arusha tu, bali Tz nzima! umesha okota 200/= barabarani? Kila kukicha afadhali ya jana! Nenda buguruni rozana usiku uone balaa hadi tigo inapigiwa debe!
tigo buku jero voda nyongeza, tigo buku voda nyongeza......!
 
Umetumia vigezo gani katika kupima hilo mkuu na utafiti wako ulifanyika maeneo gani huko, kwa kipindi gani na hebu tushirikishe na sie tukuelewe vema.

Usije ukawa umeangalia tu jengo fulani na kuona rangi imepauka kuliko ulivyoiona hapo juzi na hapo hapo ukaamua kukimbilia JF kuandika haya maneno matupu yasiothibitishika kisayansi vile.

 
pia bar nyingi arusha hapa wateja wamepungua sana.
 


We sikia, sijui uko Arusha Sehemu gani, Hayo maduka yanayofungwa saa kumi labda tengeru na kisongo. hapa town ngoma kama kawaida 12:00 mpaka na nusu. Soko gani? soko kuu arusha watu wako kuanzia saa 11:00 asubuhi mpaka saa 2 usiku utakuta wachuuzi nje ya soko hata kama limefungwa.

Nenda kwenye ma baa, j 3 mpaka j 3 watu wanakunjwa kama kawa, Nenda clubs. WE kama apeche ni wewe. Majumba yanajengwa kila kukicha. Uliza wenye boutique. Uliza wadada wa pale shivaz kama huwa wanalala njaa.

SIMBAYA hata karatu na mto wa mbu ni arusha pia, inawezekana unamaanisha huko.

CIAO
.
 
Rekebisha kidogo hapo, ni Lema sio mheshimiwa mbunge. Halafu hivi wewe umeenda Mwanza hivi karibuni? Nakushauri uende ukaone biashara inavyo kwenda.

Wewe majebere,

Acha kuongea ushabiki usio na mpango wewe. MWANZA INAONGOZWA NA WABUNGE WA CHADEMA kuanzia Nyamagana mpaka Ilemela. CHADEMA ndiyo imetoa Meya wa Jiji la MWANZA linaloongoza KWA USAFI NA KWA UCHUMI IMARA.

Arusha CCM walichakachua Uchaguzi ili wao wapata U-meya ingawa Ubunge ni CDM. Kila mtu anajua kilichotokea. Mbunge G.Lema alikuwa ni chaguo la Wana-Arusha lakini kwa hila za Serikali ya Magamba Mhe. Lema akaondolewa kwa mbinu za ki-Mahakama. Ninachotaka kusema ni kuwa kama CCM ingeliruhusu Uchaguzi huru na haki wa Meya Jiji la Arusha na Mbunge kutoka CDM basi hali ya Arusha ingelikuwa tofauti kabisa. Kumbuka pamoja na hali gumu za kimaisha na kiuchumi kwa nchi nzima lakini pia UTULIVU WA KISIASA WA ENEO HUSIKA NI KICHOCHEO TOSHA CHA KUKUA KWA UCHUMI.

TAFAKARI.

 
Watajuta kwanini walimchagua yule kichaa, sasa hawana hata wa kuwa wakilisha Bungeni

wewe majebere weweee, hapo chuoni kwako , ndo mnawaambiaga watu kuwa wamewachagua vichaaaaa....???
 
Nimeishi Arusha 30 years, hamjui Mnalosema nyie, lini maduka Arusha yalifungwa usiku sana ukiacha bar and restaurant, hamuelewi nyie watu, no research no right to speak.



 
ukiona hivyo ujue ndio unakua ss... na majukumu yanaengezeka..
karibu utuuzimani kijana.. :mod:
 
let the sleeping dog lie
 

tatizo ufahamu wako upo sawa na shehk ponda.
 
Hata kule Lindi na Mtwara watu wanaandamana? Mbona hali ya uchumi ni mbaya nchi nzima?

mtwara na lindi wao huwa wanashinda kwenye mihadhara ndio maana uchumi kwao umeshika.
 

Kutaja maeneo ni sehemu tu ya propaganda zako ili uaminike. Uchumi wa Arusha haujafikia chini kiasi mnachotaka tuamini. Barabara zote za katikati ya jiji, kata za Levolosi, Ngarenaro, Kaloleni, mjini kati na maeneo mengineyo, wakandarasi wapo site wanazijenga kwa kiwango cha lami na zinasimamiwa na halmashauri. Magorofa yanaota kila kona na mengi yanajengwa na wenyeji. Utalii sasahivi ni high season. Wazungu kila mahali. Huyo aliyepita kwenye maduka ya nguo kupiga uchumi ni "mchumi" kweli maana ni mchumia tumbo tu wa Nape. Mwambie aende tena msimu wa sikukuu na watoto wanapofungua shule. Kwao hii ni low season. Arusha bar zinafanya kazi muda wote. Jioni vifodi vinagombaniwa na life inasonga. Huwezi kuifahamu Arusha kwenye monitor ya computer wala simu yako ya kichina. Njoo uje ule trupa na mtura utaifahamu Arusha na ladha yake!
 

Mkuu achana na huyo Mdini Ritz, utaumiza kichwa bure huyo jamaa ni mgumu wa kuelewa!
 
Last edited by a moderator:


Hapa unaongea na mzawa wa arusha na mdau wa sekta tajwa, kwahiyo nakupa facts na sio siasa....Ndio baada ya september 11 , uchumi wa dunia ulianguka..ndio watalii walipungua....ndio watu walikosa kazi...ndio wimbi la kuongezeka kwa makampuni ya kitalii kumefanya kazi kuwa chahe.. na kwa taarifa yako ongezeko la hayo makampuni mengi ya ya wazawa bali ya wageni na nchi jirani..
 
Watajuta kwanini walimchagua yule kichaa, sasa hawana hata wa kuwa wakilisha Bungeni
njaasydrome ugonjwa mbaya sana utakuua unaanzia kichwani unashuka taratibu mpaka miguuni wahi haraka hospitali una kila dalili za ugonjwa huo
 
Hivi wewe ujaona matatizo ya hii nchi kwa ujumla wake na umeona ya Arusha tu? Hivi DSM mambo ni mazuri, Hivi Mwanza mambo ni mazuri? Hivi Mbeya mambo ni mazuri? Hivi Morogoro, Iringa, Dodoma nk mambo mazuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…