Status yako ya maisha ni hali ya juu,kati au choka mbaya.
Let say kipato chako kwa mwezi/mwaka ni kiasi gani?
Suala la kuja na kiasi gani cha pesa ni umasikini aisee,wewe njoo na kadi yako ya benki ATM/banks zimejaa huku Arusha.
Inategemea na mahitaji yako mkuu.
Lodge/hotel kwa 60k ni sehemu sio mbaya.
Matumizi au matanuzi kwa siku ukijiwekea 60k yaani transport na chakula pia sio mbaya.
120k/day nafikiri utafurahia
kwa muda gani?
una mwenyeji au unafikia hotel/logde
Umeandaa bajeti ya shilingi ngapi tukuelekeze machimbo kulingana na bajeti yako
NB: Nmeishi Ar ila kwa sasa siishi huko japo naendaga maraa kwa mara kutembelea makoloni yangu
Haya ni makadirio ya kawaida sana, kama ni mnywaji na mpenda starehe akiingia the Hub atatumia pesa ndefu mkuu.
Kama unapanga kwenda mapumziko huwezi kwenda kizembe bablai...starehe gharama..120k ni pesa ndogo sana ugenini