Arusha kupandisha Bendera yake?

Waajiriwa wa Nape wapo wengi sana humu jamvini,huu ukibaraka wa kuwa chama cha mkoloni mweusi Magamba CCM utaisha lini jamani! Hi nchi bwana wakati mwingine unawaza ni bora iuzwe harafu kila mtu apewe chake ajue anakwenda kuishi wapi! Fikra mgando za CCM ndiyo zilizotufikisha.
 
Wewe endelea kutukana hayo ni matunda ya malezi uliyopata kutoka kwa wazazi wako

Ckutukani we mtoto wa mafisadi! Ila najaribu kukuelimisha angalau kama utaelimika nawe uweze kujenga Taifa ktk haki kwani mafisadi wanakokupeleka ni pabaya nyau wee!!
 
Ckutukani we mtoto wa mafisadi! Ila najaribu kukuelimisha angalau kawa utaelimika nawe uweze kujenga Taifa ktk haki kwani mafisadi wanakokupeleka ni pabaya nyau wee!!

Kuniita Nguruwe ndio kunielimisha? Mwaga matusi kijana huo ndio uzalendo wa Chadema
 

wapo wengi sana humu. Wanatetea tusijitenge ili waendelee kutuibia.
 
Sitaki kusikia eti siku moja Arusha ikiitwa nchi jirani.
Sitaki kuona mtu kutoka Tabora akikamatwa Arusha kama mhamiaji haramu.
Udhalimu wa CCM unaweza kuondolewa bila kujitenga.
 

Hilo ndilo linalotakiwa kila mkoa ujitangazie uhuru wake, kwani tz ina makabila au kanda flani wanatakiwa kuwa rais?
 
kijana show some little respect you have for the Chagga people!!!! there is no where kwenye hiyo habari mtu ametaja wachagga ndo wanataka kupandisha bendere!!! you are suffering from a cronic desease know as THE FEAR OF THE UNKNOWN!!! GROW UP AND MATURE!!! be a gentleman!!!
 
Angalia Wachagga walivyo kwa hiyo Arusha nzima ni ya Mallya Tumbo?

Hii nchi ikiendelea kama ilivyo hivi sasa kujitenga au vita ya wenyewe kwa wenyewe itatokea. Haya mambo ya watu kuunganishwa ovyo ovyo na wakoloni ndo yameleta maafa na mapigano afrika. kwa mfano watu wa kaskazini kuunganishwa na wafuga mabusha nchi moja siyo sahihi, wewe ulisikia nchi gani eti raisi anaitwa mwinyi.
 

Ni makosa makubwa sana kama unavyosema rais kuitwa Mwinyi..

Rais anatakiwa aitwe Lema, Mallya, Kilawila, Kweka, Kinabo, Mushi, Kiria,

Fanyeni haraka mtangaze taifa la Wachagga
 

Hili naliunga mkono mkuu
 
Akili zingine ukwaju kweli sijui umepata wapi mamlaka ya kuwasemea watanzania...

Kama mnataka kujitenga ni nyie Wachagga sisi watanzania bado ni wamoja..

Mnatataka kuleta fujo nchini na mvunje amani

Wewe ni mmoja na mafisadi sio watanzania futa kauli yako mara moja.
 
Wachaga wakitaka kitu basi watatumia njia yeyote wakipate. Hii ndio hulka yao. Wale wa kwetu huku usukumani ni maboya tu.

Mnayatafuta matusi wenyewe mkitukanwa mnalalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…