Arusha kuna machafuko?

Hamna kesi kama mlivyomuua Akwelina.
 
Mkuu mbona povu
 
Uchaguzi umekua vita now days. We African are very stupid...
 
Ukiona hivo jua hali ni tete kwa kijani, kinaangalia jinsi ya kuinusuru ili kunusuru ajira za watu,maana hapo rc,rpc, wakurugenzi,nk watatumbuliwa.
 
Ndo kusema shetani anakuwa kazini
 
Unazidi kuweka wazi uwezo wako wa kufikiri na kuchambua hoja.... HATA KENYA MIRUNGI INARUHUSIWA, UNATAKA TANZANIA TUITUMIE KWA VILE KENYA NI RUKSA? Kuna nchi duniani ndoa za jinsia moja ruksa, unataka iwe hivyo Tanzania?

Matusi yanaondoa hoja
 
Mlishauriwa muandamane kumdhibiti jiwe mlikataa sasa adhabu yake ndo hii......Dada wa taifa alishasema tulishindwa sasa basi rais myarajiwa wa malaika ataumiza zaidi watz wanaosema ukweli na kutetea watz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…