Arusha: Kinana akosa miradi ya CCM ya kuzindua Arusha

Kweli ccm nikansa kidoleni lazima kikatwe, yani huyu muuaji wa tembo na chama chake wamekosa miradi mpaka wafungue ilioanzishwa na chadema!?
 
Duh aisee

Hivi ina maana Mkuu wa Wilaya amekosa kabisa miradi ya kuzinduliwa na boss wake Kinana? Mhhh hapa tatizo lipo sana. Wananchi wa Orkereyan simamenu muhesabiwe na Mwenyekiti wenu #Daudi_Safari
 
Huyu fisadi wa Tembo anataka nini tena Arusha? Si akafanye ukaguzi wa miradi ya CCM iliyopo kwenye ilani yao? Hii ni aibu sana
 
Leo ITV saa taarifa ya habari saa mbili eti anazindua mradi wa umeme vijijini, hovyo kabisa!
 
Nimepata tarifa kutika kwa Mwandishi wangu wa Arusha Dc, afisa Tarafa na afisa kata wanahaha kumuonyesha mradi kinana. Wanataka kudandia miradi ya Chadema

Yani inatia kichefu chefu Hawa ccm, yani kweli miaka53 wanakosa miradi ya kuleta wajinga wao kuzindua.
 
Chadema Arusha bana, Ishu ndogo kama hiyo inakuuzwa hiyo yote ni mbunge kilaza Lema amesababisha, Hivi Chadema hawajui hela za mfuko wa jimbo ni kodi zetu watanzania? Lema angetoa pesa zilizotokana na ujambazi wake sawa, lakini hizi za mfuko wa jimbo sio zake
Jambazi ambae serekali sikivu ya ccm imeshindws kumkamata hii ni aibu, alafu kodi umewahi kulipa wapi wewe k. Pesa unalipwa kwa bahasha hapo lumumba na kusaini p. Cash isiyo na copy...silly
 
Duh kweli CCM ni janga la kitaifa. Haikubaliki hata kidogo kubaka miradi itokanayo na nguvu ya wananchi

Hodi hodi nawasalimu nyote
 
Mimi namsubiri nimpopoe mawe mpumbavu sana yaani Chadema wajenge yeye aje na mkasi wake kwani Chadema hatuna mikasi...

Kiswahili tunaita EMBE TAYARI. Yaani msomali anataka kuvuna asichopanda.....majanga.

Akitaka ahamie kwetu tumpakate.
 
Yani inatia kichefu chefu Hawa ccm, yani kweli miaka53 wanakosa miradi ya kuleta wajinga wao kuzindua.


Kamanda wangu The Name huyo jamaa aendelee kutumia fisi huko huko akileta za kuleta hapa Arusha ataaibishwa.

Anapaswa ajue kuwa Chama Cha Mapinduzi ni chama Kikuu cha upinzani hapa Arusha.
 
Last edited by a moderator:
Inawezekanaje mtu kuingia kwenye nyumba ya mtu bila kibali chake. Jamani hii ni aibu hasa. Watasema ni wao wamejenga ua? Hakika kama wamekosa haya na heshima. Haiwezekani wawe na ujasiri wa namna hiyo ya kukagua mradi ambao hawajachangia hata mawazo. ni aibu isiyoelezeka. Wataaibika sana kupora miradi ya wenzao.
 
Maneno ya ovyo kabisa kuwahi kuyasikia duniani. Yani CDM hampendi miradi ya maendeleo!
 
Back
Top Bottom