Kuna kaukweli...Sitak kesi hapa ..
Mengi kafa na miaka 75, Mrema kafa na miaka 68, huyo msuya sijui kafa na miaka mingapi ila anaonyesha naye alikuwa ni zaidi ya 65, kuna Ndesamburo amekufa na miaka sijui 80+ huko
Sasa umelinganisha na umri upi hadi kusema wanakufa haraka? Wastani wa kuishi kwa mtanzania ni umri gani?
Na je Kilimanjaro au Arusha zina matajiri wangapi hadi uhitimishe kwa kusema kuwa wanakufa vifo vya mapema kwa kuangalia hao watatu uliowataja?
Uzi wako unataka uvutie comments kuwa wanauana na comments kama hizo utazipata sababu ndivyo Watanzania walivyo, mawazo ya kimaskini kuwajadili maisha ya watu
Mimi binafsi nimejifunza kwa kuona kuhusu ndugu zangu walio oa kilimanjaro, mwisho wao umekuwa mbaya sana mpk wanatengwa na ukoo.mkuu bora mim hata sina la kusema, najaribu kuwaza kwa sauti kuu, sasa imefika mahala makabila mengine yenye uwezo wanasikitika sana watoto wao wanapopata wachumba wa kuwaoa kutoka maeneo hayo, najua conspiracy theories zipo kwa kila tokea, lakini kwa nini upande huu simanzi na stori za kuogofya zimekuwa nyingi sana? mpaka kufikia hali hii? Leteni majawabu hapa huenda ikawasaidia wengine kutoka makabila mengine kuondokana na hofu ilojengeka kwa miaka mingi sasa
Unafikiri kwa nini ripoti zinasema hiv?
Watu wengi wa huko kasikazini ni washirikina wakubwa wanawafanya ndugu zao vichaa
Na wamama wanawaua waume zaoView attachment 1141840
Sio mchaga ila napingana na hiyo dhana kabisa. Mbona ndugu zangu wameoa huko. Karibia wote upande wa baba wameoa huko na hakuna mwenye mwisho mbaya. Miaka nenda rudi wako vizuri..Mimi binafsi nimejifunza kwa kuona kuhusu ndugu zangu walio oa kilimanjaro, mwisho wao umekuwa mbaya sana mpk wanatengwa na ukoo.
Kwa kifup siwez kuo hiyo zone bora nibaki bachela milele.
Karibu, kila la heri mkuu.Sio mchaga ila nduguSio mchaga ila napingana na hiyo dhana kabisa. Mbona ndugu zangu wameoa huko. Karibia wote upande wa baba wameoa huko na hakuna mwenye mwisho mbaya. Miaka nenda rudi wako vizuri..
Ndoa ni jinsi unaishi na mwenzi wako. Kabila lake halitafanya ndoa yako idumu. hata siku moja..
Tabia zenu ndio zitavunja ndoa. Au zitaifanya idumu
Vip mbona kuna tuhuma nyingi kuhusu watu wa kasikazini.As if hakuna sehem nyingine ya nchi haina vichaa? Siamin katika uchawi.. naamini katika fact ambazo zipo na zinaonekana. Kuna factors nyingi ila sidhan kama uchaw ni sababu. Thats sounds weak