Mfamaji JF-Expert Member Nov 6, 2007 6,631 1,926 Dec 24, 2011 #1 Ni mji pekee baa na pubs hazifungwi kwa muda uliowekwa kisheria. Polisi wako bize na CDM tuuu na rushwa zinazowafanya wasahau kuwa sheria hii ina maana. Source Mfamaji.
Ni mji pekee baa na pubs hazifungwi kwa muda uliowekwa kisheria. Polisi wako bize na CDM tuuu na rushwa zinazowafanya wasahau kuwa sheria hii ina maana. Source Mfamaji.
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Dec 24, 2011 #2 wapi na wapi umetembelea wewe..........?
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Dec 24, 2011 #4 Jackbauer said: mchana kazi usiku bia na mtura! Click to expand... umeona eeh....njoo basi Keni j3 tuzimue.....nina mpango wa kuchoka sana kesho........
Jackbauer said: mchana kazi usiku bia na mtura! Click to expand... umeona eeh....njoo basi Keni j3 tuzimue.....nina mpango wa kuchoka sana kesho........
Mfamaji JF-Expert Member Nov 6, 2007 6,631 1,926 Dec 24, 2011 Thread starter #6 Preta said: wapi na wapi umetembelea wewe..........? Click to expand... Preta nimetembea kwingi. Najua club zote za usiku Ar. Sheria ndogo tu kama hizi zatushinda. Kubwa je?
Preta said: wapi na wapi umetembelea wewe..........? Click to expand... Preta nimetembea kwingi. Najua club zote za usiku Ar. Sheria ndogo tu kama hizi zatushinda. Kubwa je?