Vijana wa Arusha wanawaza kwenda Mererani tu. Unakuta kijana wa mererani hana hata mia, anawaza kupata milioni 200.
Ndio maana nimehama arusha
Kuna TV.......na taarifa za habari wanarusha........kwa kutumia cable yao............
Jiji gani kama Tu Musoma Municipal.If the govt could not have chosen it as an EAC HQ,sijui ingekuwaje tu ????
Vijana wa Arusha wanawaza kwenda Mererani tu. Unakuta kijana wa mererani hana hata mia, anawaza kupata milioni 200.
Lift zilizoko ulipo umejenga wewe, au wafurahia vya wenzako?!!!
Lift zilizoko ulipo umejenga wewe, au wafurahia vya wenzako?!!!
Na Simiyu kazi kubwa ni kuua Albino.Arusha kazi kubwa ni kuuza bangi bana!
Arusha kazi kubwa ni kuuza bangi bana!
Natumia DSTV,
Mweee!! Nilienda Mererani,nikashangaa napigiwa story za yule alikuwa na 1b,huyu aliyepita hapa alikuwa na 400m,mara yule alikuwa na 300m,lakini ukiwaangalia hao unaooneshwa, Sendo zimeisha hawana hata mia! Sijui ela za madini zikoje
Nikaamua kurudi zangu.
M=milion
B=Bilion
inakuja TV 5 . Kama hoja ya maendeleo ni kuwa na Tv basi Dar ingeendelea sana. Ukipita vingunguti, sijui, Buguruni, manzese unajiadi nawe ulo jijini Dar