mamseri
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 707
- 292
Wana jf wiki iliyopita Tanesco walikata umeme bila taarifa kwa siku nne mfululizo ilipofika ijumaa wakati rais amekuja wakaachia umeme mpaka jana jpili. Rais ameondoka mwendo ni ule ule hakuna umeme na hawatoi taarifa kama kuna shida au ni nini, je tuchukue hatua gani watu tunaotegemea umeme kwa shughuli zetu tufanyeje?