Hata mimi nimeambiwa na jamaa yangu wa karibu kwamba Arusha kuna mgawo wa umeme wa kufa mtu. Sasa sijui kwanini unafuu tunaopata hapa Dar baada ya mitambo ya IPTL kuwashwa wenzetu wa Arusha bado wako ktk mgawo mkali!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.