Arusha: CHADEMA yaigaragaza CCM kwenye serekali za mitaa leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha: CHADEMA yaigaragaza CCM kwenye serekali za mitaa leo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanahabari Huru, Apr 24, 2016.

 1. Mwanahabari Huru

  Mwanahabari Huru JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2016
  Joined: Mar 9, 2015
  Messages: 11,408
  Likes Received: 17,277
  Trophy Points: 280
  Leo kumefanyika chaguzi kwenye wa Serekali ya Mtaa wa Sanare jijini Arusha na mgombea wa Chadema ameibuka mshindi huu mtaa ulikua wa ccm lakini chadema wameuchukua baada ya mwenyekiti wake wa awali kuamia chadema

  MATOLEO YA JUMLA YA CHADEMA NA MITAA JIJINI ARUSHA

  CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
  WILAYA YA ARUSHA MJINI
  S.L.P 12525, NGARENARO - ARUSHA

  TAAIFA KWA UMMA!!

  Idadi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa;

  HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA

  Baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 14/12/2014
  ccm MITAA 78
  CHADEMA MITAA 76
  JUMLA ni MITAA 154

  Current status
  Baada ya Uchaguzi wa Marudio wa Serikali za Mitaa, 2016

  CHADEMA MITAA 79
  ccm MITAA 74
  JUMLA 153

  Mtaa Mmoja bado Uchaguzi wa Marudio haujafanyika

  Kata TERRAT Mtaa wa BONDENI KATI

  Imetolewa na;

  KURUGENZI YA HABARI NA MAWASILIANO
  CHADEMA WILAYA YA ARUSHA MJINI
   

  Attached Files:

 2. E

  Earthmover JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2016
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 13,528
  Likes Received: 3,723
  Trophy Points: 280
  ....

  .....huku chuga camera ni kitu cha kawaida
   
 3. MANDELAA KIWELU

  MANDELAA KIWELU JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2016
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 3,587
  Likes Received: 4,368
  Trophy Points: 280
  CDM ni Arusha & Arusha ni CDM..
   
 4. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2016
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,247
  Likes Received: 10,422
  Trophy Points: 280
  Umesahau kipigo cha tatu bila hivi karibuni?
   
 5. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2016
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,872
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  hii habari b7 hawataki sikia.
   
 6. m

  mzalendo15 JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Hongera Chadema kwa kuendelea kuongoza mitaa mingi.
   
 7. MAGALEMWA

  MAGALEMWA JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2016
  Joined: Jul 8, 2015
  Messages: 3,851
  Likes Received: 2,097
  Trophy Points: 280
  Tatu bila sawa; huu uchaguzi ndiyo umefanyika ngapi kwa ngapi?
   
 8. K

  Kunguru Jasiri Senior Member

  #8
  Apr 24, 2016
  Joined: Apr 15, 2016
  Messages: 118
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Halafu LB46 wako bize kutulisha matango pori ya eti CHADEMA na UKAWA wamepoteza supporters wengi pamoja na popularity eti kwa sbb ya jamaa kuwa bize kutumbua vijipu vya wapinzani wake ndani ya CCM huku akiacha majipu sugu na kuyafungia chumbani kwake!!

  Hawa wanastahili kwenda kupimwa afya ya akili zao, pengine wanahitaji kupelekwa hospitali maalum ya vichaa kusaidiwa!!
   
 9. Mdudu halisi

  Mdudu halisi JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2016
  Joined: May 7, 2014
  Messages: 2,447
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  Mbona CCM wamepigwa hivyo au walisahau kwenda na fisi wao kwenye mikutano ya kampeni?
   
 10. A

  Alakara Armamasitai Verified User

  #10
  Apr 24, 2016
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Arusha ni CHADEMA na CHADEMA ni Arusha forward ever backward never
   
 11. M

  MPAMBANAJI WA MAISHA Senior Member

  #11
  Apr 24, 2016
  Joined: Feb 20, 2016
  Messages: 187
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Hivi kwa Nin?i CCM inakubarika Mikoa Ambayo ipo Nyuma Kimaendeleo
   
 12. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2016
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,409
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  kwa sababu wananchi wa uko ni maskini wa fikra
   
 13. W

  Wa mabere JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2016
  Joined: Mar 4, 2016
  Messages: 274
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Labda sielewi kiswahili vizuri hivi matokeo ya kura 79 kwa 74 ni kugaragaza???? Ukitilia maanani kwamba Wamasai, Wameru na Wachaga wote wa Arusha ni Chalema!!!
   
 14. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2016
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,437
  Trophy Points: 280
  Kura 400 Kwa 412 halafu mtu anajisifia eti ngome !
   
 15. a

  artch2311 JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2016
  Joined: Jan 5, 2016
  Messages: 543
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 60
  Kelele zote hizi nilijua labda ccm wako chini ya 20% kama pemba, kumbe it's almost 50/50.
  Kama kwenye ngome ndio hivo, Sasa hiyo itachukuliwa vp....
  Maana nijuavo mie kwenye ngome za ccm wanaenda mpaka 95%.
   
 16. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2016
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,872
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Mnajifariji nini ninyi b7? kibali mmeshindwa hata ingekuwa kura 1!
   
 17. radika

  radika JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2016
  Joined: Jul 15, 2014
  Messages: 10,453
  Likes Received: 12,191
  Trophy Points: 280

  huoni chama kikongwe kilivopoteza mvuto hadi kufukia 50/50 na chama kipo miaka 50 ya uongozi bado kinatoka suluhu na chama kipya muda ukiongezeka kitafutika mana hizo kura kilizozipata ni za wazee n wazee wakifa ccm chali.
   
 18. moshi vijijini

  moshi vijijini JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2016
  Joined: May 14, 2015
  Messages: 2,892
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Acha kikuza mambo bwana mdogo..
   
 19. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2016
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,526
  Likes Received: 3,757
  Trophy Points: 280
  kwa haya yanayoendelea upinzani bado utapata nguvu...
   
 20. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2016
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 44,473
  Likes Received: 25,286
  Trophy Points: 280
  matokeo ya jumla umeyaona ?
   
Loading...