Arusha: CHADEMA yaigaragaza CCM kwenye serekali za mitaa leo

Arusha wavuta bangi wengi. Sisi huku Ludewa CCM inatujali sana yanini nihangaike na chadema? Mijini wapeni Chadema sisi huku hatulali njaa kama nyie wa mjini baba zima linakula chips! Chadema mkishika dola si ardhi yote ya vijiji mtauza? Hahahahahaaa. Ccm ni ccm tuuu! Mtarudi tuuui!
 
Ahahaha fisiem nyang'a nyang'a ndembe ndembe mlalo wa chali, kifo cha mende
 
Leo kumefanyika chaguzi kwenye wa Serekali ya Mtaa wa Sanare jijini Arusha na mgombea wa Chadema ameibuka mshindi huu mtaa ulikua wa ccm lakini chadema wameuchukua baada ya mwenyekiti wake wa awali kuamia chadema

MATOLEO YA JUMLA YA CHADEMA NA MITAA JIJINI ARUSHA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
WILAYA YA ARUSHA MJINI
S.L.P 12525, NGARENARO - ARUSHA

TAAIFA KWA UMMA!!

Idadi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa;

HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA

Baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 14/12/2014
ccm MITAA 78
CHADEMA MITAA 76
JUMLA ni MITAA 154

Current status
Baada ya Uchaguzi wa Marudio wa Serikali za Mitaa, 2016

CHADEMA MITAA 79
ccm MITAA 74
JUMLA 153

Mtaa Mmoja bado Uchaguzi wa Marudio haujafanyika

Kata TERRAT Mtaa wa BONDENI KATI

Imetolewa na;

KURUGENZI YA HABARI NA MAWASILIANO
CHADEMA WILAYA YA ARUSHA MJINI
yaani pamoja na sanaa ya maigizo ya inayoendelea ya utumbuaji. Raia bado wamegoma!. Kweli CCM ni sikio la kufa
 
Leo kumefanyika chaguzi kwenye wa Serekali ya Mtaa wa Sanare jijini Arusha na mgombea wa Chadema ameibuka mshindi huu mtaa ulikua wa ccm lakini chadema wameuchukua baada ya mwenyekiti wake wa awali kuamia chadema

MATOLEO YA JUMLA YA CHADEMA NA MITAA JIJINI ARUSHA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
WILAYA YA ARUSHA MJINI
S.L.P 12525, NGARENARO - ARUSHA

TAAIFA KWA UMMA!!

Idadi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa;

HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA

Baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 14/12/2014
ccm MITAA 78
CHADEMA MITAA 76
JUMLA ni MITAA 154

Current status
Baada ya Uchaguzi wa Marudio wa Serikali za Mitaa, 2016

CHADEMA MITAA 79
ccm MITAA 74
JUMLA 153

Mtaa Mmoja bado Uchaguzi wa Marudio haujafanyika

Kata TERRAT Mtaa wa BONDENI KATI

Imetolewa na;

KURUGENZI YA HABARI NA MAWASILIANO
CHADEMA WILAYA YA ARUSHA MJINI
Mkuu rekebisha content ya thread isomeke matokeo badala ya matoleo, maana saccos yenu mmezoea kuchangishana mpaka ukadhani unatoa hesabu za michango hapa.
 
Back
Top Bottom