ARUSHA: Basi Abood lapata ajali

Jamani abiria wanaopenda kukaa mbele kwenye gari na kuanza kusinzia wanatakiwa kuwa makini sana ikiwa pamoja na kufunga mikanda.
Kuna mwarabu mmoja alikaa nyuma ya dereva kajiachia pale...yaani sijamuona tumeruka nje lakini yeye hajaonekana hadi sasa na alikuwa bonge sijui karukaje maana mlango haukuwepo

Kuna wadada wawili walikuwa wanaenda moshi walikaa Kwenye boneti kwa dereva, walirukia upande wangu maana mm nilikuwa nmekaa siti moja nyuma kutoka kwa kinda.

Kuna mdada nilikaa naye alimuomba kinda kwamba akae pale mbele kinda hakumruhusu, yaani angekaa nahisi angekufa maana alikuwa legelege sana

Wa Kwenye boneti walisalimika ila michubuko ya kuruka maana ajali ilionekana mapema
 
HAKUNA MANUSURA WA KIFO MKUU!!ITS EITHER U'R DEAD OR ALIVE!!Asante kwa taarifa!
 
Poleni sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…