ScreenMaster
Member
- Nov 26, 2011
- 12
- 4
Nani atatufaa wana A TOWN ZAIDI YA EL??? TUTAFAKURI KWA KINA
Nani atatufaa wana A TOWN ZAIDI YA EL??? TUTAFAKURI KWA KINA
Haya sasa...Nani atatufaa wana A TOWN ZAIDI YA EL??? TUTAFAKURI KWA KINA
Unauliza wangemfanya nini?Kazi kweli kweli! Hizi ni hisia au? Angepita town wangemfanya nini? Anyway ni mawazo yako tu screenmaster haikuwa hivyo.
Monduli si ndio kwao Lowassa! Jk kaenda jeshini na Lowassa yupo kwao....kweli hawa jamaa hawakukutana barabarani
Hivi Akipita Arusha kutatokea nini?Acheni Siasa za Uhasama nina hakika JK akija huko sioni kitakachotokea sanasana Ninawaomba siku akitua AR mjipange barabarani kumpokea kwa shangwe na nderemo kama enzi hizo lengo ni kuepusha UhasamaMimi nimekuwa nikisema hapa jukwaani siku zote. Jk hawezi kuja Arusha. Hata Monduli amekuja kwasababu za kiitifaki. Graduate wa Monduli huwa wanatunukiwa vyeo na rais tu. Hawezi ku deligate kwa mtu. Ameamua kupitia juu kwa juu. Na ninaamini kama kungekuwa na uwanja wa ndege Monduli, basi hata uwanja wa Arusha asingetua. Hakuna kiongozi yeyote wa ccm anayeweza kuja Arusha hadi sasa. Najiuliza kampeni za uchaguzi wa madiwani waliotimuliwa sijui ni nani wa ccm atakayekuja kuwapigia debe!? Yangu macho!
Hivi Akipita Arusha kutatokea nini?Acheni Siasa za Uhasama nina hakika JK akija huko sioni kitakachotokea sanasana Ninawaomba siku akitua AR mjipange barabarani kumpokea kwa shangwe na nderemo kama enzi hizo lengo ni kuepusha Uhasama
Usiokwisha
Sijui wewe unaishi wapi hadi uwe mgumu kuelewa, lakini kwa ufupi mji wa Arusha uko katika Next Level!Hivi Akipita Arusha kutatokea nini?Acheni Siasa za Uhasama nina hakika JK akija huko sioni kitakachotokea sanasana Ninawaomba siku akitua AR mjipange barabarani kumpokea kwa shangwe na nderemo kama enzi hizo lengo ni kuepusha Uhasama
Usiokwisha
Hivi Akipita Arusha kutatokea nini?Acheni Siasa za Uhasama nina hakika JK akija huko sioni kitakachotokea sanasana Ninawaomba siku akitua AR mjipange barabarani kumpokea kwa shangwe na nderemo kama enzi hizo lengo ni kuepusha Uhasama
Usiokwisha
... Jk leo alikuwa akionekana mpole sana sana na hakuwa na raha na alisema maneno machache sana tena ya kusoma wakati wa kuwatunuku maofisa hao ila wakati mafahali yalipomalizika alionekana kuwa na ka uchangamfu kidogo na aliweza hata kuwaita watoto wachache walikuwa pembezoni mwa barabara za uwanja wa gwaride na kuongea nao kidogo na kuendelea na mambo mengine.