Arusha: A mega city that has not lived up to its potential

msemakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,627
Reaction score
880
Arusha is a 'city' situated in Tanzania's northen region. As of now, it has a population of roughly half a million people.

In my view, Arusha is a city that has the potential of being Tanzania's most economically significant city, surpassing Dar es salaam and possibly even Kenya's Nairobi.

Arusha is a major international diplomatic hub. It hosts the EAC headquarters and is also the proposed seat of the African Court of Justice, the AU's apex judicial organ.

Arusha's service sector should now be rivalring Nairobi's, fifty three years down the lane! World class hotels, shopping malls should be the order of the day! It is at the centre of the northern tourism circuit, thanks to its strategic location close to the Kilimanjaro and even the Ngorongoro and Serengeti.

Some stakeholders have argued that the government should have first built a major international airport there before even ugrading Dar's JNIA.

Air Tanzania should be headquartered in this airport and should play a major role in bringing tourists directly into the country, instead of the current situation where many land at Kenya's JKIA and then cross over to Tanzania. Mark you, air fares are a significant chunk of a tourists total budget.

Arusha also has vast untapped potential in the gemstones sector, and some say that it should be 'Africa's gemstone hub'
In the Agricultural sector, Arusha has few rivals in Tanzania. Horticulture is flourishing, and the aforementioned international airport would have been a major catalyst for tea and flower exports.

Arusha is also sorrounded by major urban centres (eg Nairobi to the north and Moshi to the east), unlike her sister-city of Dar es salaam. This could be a major catalyst for growth of a throbbing metropolis.

In terms of education, the city has been selected to host the multi million dollar Aga Khan University.

In my view, the government should stop concentrating everything in Dar es salaam. Other cities like Arusha, Zanzibar, Mwanza, Mbeya and Dodoma also have enormous potential.

As a sign of commitment to this course, the government should order all its offices move to Dodoma (including the state house, court of appeal, ministries, government agencies and parastatals) in a phased manner between 2015 and 2020. It should also devolve more powers to the regional governments in a manner similar to Kenya's or South Africa's.

I am not from Arusha myself, neither am I a mchagga or a mpare or a maasai.

I just see that city for what it can be.
 
Arusha is just 'a big village' ...
jiji gani lina barabara mbili tu?

Arusha ni home lakini mh!! Yaani hata kijiji kina afadhali maana kipo wazi, aliyefanya kazi ya mipango miji katika mji ule alikuwa hana akili kabisa, ule mji unatia aibu kuitwa jiji ni vile unapromotiwa na watu.

Rasilimali zipo lakini wachache ndo wanazifaidi,mzunguko wa fedha ni mgumu ndo maana wengi wanakimbilia Dar,Airport ni aibu mno kwa jiji kama lile, stand ya mabas hamna ni aibu mno hata Msamvu Moro wamewashinda, Yaani kila kitu ni aibu tu,inabidi mji wote ufumuliwe usukwe upya.
 
ukishaona mji watu mnafahamiana kwa kukutana town kila siku
uje hilo sio jiji ni kijiji
 
The Boss ni Kweli kabisa mtu ataenda wapi?,barabara zenyewe ndo hizo,na siku hizi kumekuwa na foleni balaa utafikiri Dar nadhani hata Dar wakati mwingine afadhali kuna barabara nyingi za kuingia na kutoka utakwepa foleni lakini la Arusha likikukuta utakoma
 
Last edited by a moderator:
msemakwli hapa hujasema ukweli.

"Mega city" ni mji wenye wenye wakazi zaidi ya millioni 10. Kwa maana hiyo, hata Dar haijafikia kuitwa mega city wacha ki-mji kama Arusha kisichofikia hata wakazi million 1.
 
Last edited by a moderator:
Arusha ni home lakini mh!! Yaani hata kijiji kina afadhali maana kipo wazi, aliyefanya kazi ya mipango miji katika mji ule alikuwa hana akili kabisa, ule mji unatia aibu kuitwa jiji ni vile unapromotiwa na watu.

Rasilimali zipo lakini wachache ndo wanazifaidi,mzunguko wa fedha ni mgumu ndo maana wengi wanakimbilia Dar,Airport ni aibu mno kwa jiji kama lile, stand ya mabas hamna ni aibu mno hata Msamvu Moro wamewashinda, Yaani kila kitu ni aibu tu,inabidi mji wote ufumuliwe usukwe upya.

Mtu angesema kuwa arusha ni jiji kubwa kwa maana ya infrastructure hata mimi ningempinga sana tu,ila kama umemwelewa mkuu msemakweli anachokisema ni kuwa arusha ina/ilistahili kuwa zaidi ya ilivyo leo,hasa kutokana na mega projects alizoziainisha hapo,kutokana na resources zilizopo na zinazoizunguka,kutokana na geography yake,kutokana na rasilimali watu iliyonayo,ukiangazia hayo yote utakubali kuwa arusha ingeweza kuishinda hata dar,ila kuna tatizo la centralization,na equalization kimaendeleo,dar imeteuliwa kuwa joka kubwa linalomeza nyoka wengine wakiwa wadogo,linameza mpaka think tanks za mikoa mingine,mfano wabunge na mawaziri,etc etc.
 
Last edited by a moderator:
Dada FaizaFoxy arusha ni ndogo ki eneo,na hiyo ni advantage ya kuweza kuiboresha,ila sasa ukisem utanue barabara kama ya uhuru/sokoine itabidi uvunje vijighorofa vyoote vilivyo pembezoni,na hilo ndiyo jambo gumu kabisa kulitekeleza,naamini hata huko ulaya/marekani? Ulipo kuna vi miji vidogo tu lakini vyenye viwango vya maana,tena ambavyo havina hata rasilimali na geografia kama ya arusha.
 
FaizaFoxy
 
Na hata mimi sijaelezea infrastructure tu,kwanza nimesema mpangilio wa mji si mzuri,pili rasimali hazijalengwa/hazipo/ni makusudi tu kwa watu wote wachache wanazitumia kuliiibia taifa, tatu tunajua miundo mbinu ina mchango mkubwa sana katika ukuaji wa mji,miundo mbinu ikiwa mibaya hata mji hauwezi kukua vizuri na ukikua basi ni matatizo mengi sana yatakuwepo.

Just imagine watalii wanaletwa na Wakenya,wageni wengi wanafikia Kenya then pale Arusha na Kilimanjaro wanaletwa tu,Kenya amekuwa agent mkuu wa utalii,madini n.k

Tukiangalia katika vigezo vya jiji Arusha haimo,sema kulichopo ni kwamba mji umebarikiwa na rasilimali nyingi nini kifanyike basi ili rasimali hizi zifaidishe wanamji na taifa kwa ujumla ya zaidi ya hapa tulipo.

Maendeleo hayawezi kuja pasipo miundo mbinu,ili mji huu uwe kama mtoa mada anavyoshauri shurti miundo mbinu iwe sawa kila kitu kitachangamka. Nadhani hili si tatizo la Arusha tu hata Dar ina tatizo hilo na ingeweza kuwa zaidi ya hapa ilivyo.
 
Last edited by a moderator:
Arusha is a 'city' situated in Tanzania's northen region. As of now, it has a population of roughly half a million people.

In my view, Arusha is a city that has the potential of being Tanzania's most economically significant city, surpassing Dar es salaam and possibly even Kenya's Nairobi.

Arusha is a major international diplomatic hub. It hosts the EAC headquarters and is also the proposed seat of the African Court of Justice, the AU's apex judicial organ.

Arusha's service sector should now be rivalring Nairobi's, fifty three years down the lane! World class hotels, shopping malls should be the order of the day! It is at the centre of the northern tourism circuit, thanks to its strategic location close to the Kilimanjaro and even the Ngorongoro and Serengeti.

Some stakeholders have argued that the government should have first built a major international airport there before even ugrading Dar's JNIA.

Air Tanzania should be headquartered in this airport and should play a major role in bringing tourists directly into the country, instead of the current situation where many land at Kenya's JKIA and then cross over to Tanzania. Mark you, air fares are a significant chunk of a tourists total budget.

Arusha also has vast untapped potential in the gemstones sector, and some say that it should be 'Africa's gemstone hub'
In the Agricultural sector, Arusha has few rivals in Tanzania. Horticulture is flourishing, and the aforementioned international airport would have been a major catalyst for tea and flower exports.

Arusha is also sorrounded by major urban centres (eg Nairobi to the north and Moshi to the east), unlike her sister-city of Dar es salaam. This could be a major catalyst for growth of a throbbing metropolis.

In terms of education, the city has been selected to host the multi million dollar Aga Khan University.

In my view, the government should stop concentrating everything in Dar es salaam. Other cities like Arusha, Zanzibar, Mwanza, Mbeya and Dodoma also have enormous potential.

As a sign of commitment to this course, the government should order all its offices move to Dodoma (including the state house, court of appeal, ministries, government agencies and parastatals) in a phased manner between 2015 and 2020. It should also devolve more powers to the regional governments in a manner similar to Kenya's or South Africa's.

I am not from Arusha myself, neither am I a mchagga or a mpare or a maasai.

I just see that city for what it can be.

Kwanza nafikiri haulewi nini maana ya Mega City nafikiri umelisikia tu hilo nano na ukaamua kulitumia!
Pili Arusha kama Arusha haina tatizo lolote, maendeleo ya Mji wa Arusha yanaendana na maendeleo ya nchi ya TZ kwa ujumla hivyo ukichukulia kiwango cha maendeleo tuliyonayo TZ Arusha iko vizuri tu, unachosahau ni kwamba Arusha haiwezi kuendelea na kuwa kama ulivyoelezea kama Tanzania haijaendelea, ni lazima TZ kama Nchi iendelee ndio iweze kubebe miji yake pamoja na SIYO kinyume chake!
 
Asante mkuu,ila sasa mbona tanzania hii hii yenye maendeleo haya haya inakuwa miji yenye standards tofauti kubwa kama mbingu na ardhi?kwa maelezo yako basi kama Dar ingekuwa tanzania,basi mtwara ingepaswa kuwa nchi nyingine kabisa,mkoa wa pwani ungekuwa labda malawi na kilimanjaro ingekuwa zambia nk nk nk,mkuu huaamini kuwa kuna miji mizuri mno kwenye nchi masikini zenye level kama ya Tz tu?hat hapa Dar penyewe pana standards tofauti za mitaa japo jiji ni moja,unasemaje kuhusu hilo?
 
Nilichomaanisha ni kwamba Arusha kwa ngazi ya Kimaendeleo na mfumo wetu jinsi ulivyo iko vizuri tu!

Dar iko jinsi ilivyo kwa sababu moja kubwa tu na yo ni kwamba ndio mji mkuu na ambapo kila kitu kiko huko leo hii wewe hata ukitaka kufungua Kiwanda tu labda Arusha au Kigoma ni lazima pia ufungue na Ofisi ya Pili Dar bila ya hivyo utakwama hata msajijri tu wa Makampuni Brela ni lazima uende Dar, ukitaka kufwatilia maswala ya kodi TRA lazima uende Dar, ukitaka kuonana na watu wa Chamber of commerce ni lazima uende Dar na ndio maana iko hivyo!

Lkn Arusha kama Arusha kwa mfumo huu wetu haiwezi kuizidi Dar hata iweje labda Serikali ichukue hatua za makusudi za kuipendelea Arusha tu, kitu ambacho mikoa mingine pia wataona siyo sawa, hivyo kwa ngazi ya Maendeleo tulinayo TZ, Arusha iko juu tena sana tu!
 
Dada FaizaFoxy arusha ni ndogo ki eneo,na hiyo ni advantage ya kuweza kuiboresha,ila sasa ukisem utanue barabara kama ya uhuru/sokoine itabidi uvunje vijighorofa vyoote vilivyo pembezoni,na hilo ndiyo jambo gumu kabisa kulitekeleza,naamini hata huko ulaya/marekani? Ulipo kuna vi miji vidogo tu lakini vyenye viwango vya maana,tena ambavyo havina hata rasilimali na geografia kama ya arusha.

Hayo yote yenu, mimi nilichosema huwezi kuiita Arusha "mega" city. "Mega" city ni ile yenye wakazi zaidi ya million 10.

Hivi mnaelewa kusoma au mnakurupuka tu?

Hii hapa definition ya "mega city": Mega City
 
Nilichomaanisha ni kwamba Arusha kwa ngazi ya Kimaendeleo na mfumo wetu jinsi ulivyo iko vizuri tu!

Dar iko jinsi ilivyo kwa sababu moja kubwa tu na yo ni kwamba ndio mji mkuu na ambapo kila kitu kiko huko leo hii wewe hata ukitaka kufungua Kiwanda tu labda Arusha au Kigoma ni lazima pia ufungue na Ofisi ya Pili Dar bila ya hivyo utakwama hata msajijri tu wa Makampuni Brela ni lazima uende Dar, ukitaka kufwatilia maswala ya kodi TRA lazima uende Dar, ukitaka kuonana na watu wa Chamber of commerce ni lazima uende Dar na ndio maana iko hivyo!

Lkn Arusha kama Arusha kwa mfumo huu wetu haiwezi kuizidi Dar hata iweje labda Serikali ichukue hatua za makusudi za kuipendelea Arusha tu, kitu ambacho mikoa mingine pia wataona siyo sawa, hivyo kwa ngazi ya Maendeleo tulinayo TZ, Arusha iko juu tena sana tu!

Namshauri msemakweli:

Kufuta neno "mega" city, Arusha si "mega" city, hata Dar yenyewe si "mega" city. Nimekufundisha juu huko maana ya "mega" city.

Hivi hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Kama hajafata huu ushauri anakuwa si msemakweli tena.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nafikiri haulewi nini maana ya Mega City nafikiri umelisikia tu hilo nano na ukaamua kulitumia!
Pili Arusha kama Arusha haina tatizo lolote, maendeleo ya Mji wa Arusha yanaendana na maendeleo ya nchi ya TZ kwa ujumla hivyo ukichukulia kiwango cha maendeleo tuliyonayo TZ Arusha iko vizuri tu, unachosahau ni kwamba Arusha haiwezi kuendelea na kuwa kama ulivyoelezea kama Tanzania haijaendelea, ni lazima TZ kama Nchi iendelee ndio iweze kubebe miji yake pamoja na SIYO kinyume chake!

Do you think that it is impossible to have a mega city within an underdeveloped country? Kuna nchi ambazo maendeleo yake yameongozwa na miji yake. it is possible to have big cities in a small country and vice versa!
 
Ndio maana nimekwamba ya kwamba labda haulewei maana ya Mega City!
Kuwa na Mega City siyo kitu cha kujivunia na wala MegaCity SIYO maendeleo bali ni makosa ambayo baadhi ya nchi zenye MegaCity zimefanya.

Na Nchi zote zenye Mega City leo hii wana matatizo makubwa sana na kama wangepata kuwa nafasi ya kwetu wasingependa kuwa na Mega City, bali wangesambaza Rasilimali na maendeleo nchi nzima ili wawe na Miji mingi yenye ukubwa wa wastani na yenye kutoa ubora wa maisha kwa watu wake!
 
Ni kweli kama tunazungumzia potential, basi ipo kubwa kwa Arusha kuwa mji mkubwa na mzuri. Tatizo ni letu watanzania kutochangamkia fursa na kujenga miji yetu vizuri. hatutambui kwamba miji ni economic powerhouses, angalia Dar au Nairobi kwa Kenya, nusu ya uchumi wote wa nchi ya Kenya unatokana na Nairobi. Tujenge miji mizuri na mikubwa kwa kupanga miji hii kabla haijajipanga yenyewe kama inavyoendelea sasa
 
Politics ndio imeharibu kabisa mji huu..unywaji wa pombe kali kwa vijana...matumizi ya bangi kupita kiasi..hakuna other issues kujsdili maskani zaidi ya chadema na ccm. Pub kila kona ni ujanja sana kuanza kunywa asubuhi asubuhi...nimepatembelea hii wiki ya pili..ila kuna kazi ya ziada kufanya.
 
Nilichomaanisha ni kwamba Arusha kwa ngazi ya Kimaendeleo na mfumo wetu jinsi ulivyo iko vizuri tu!

Dar iko jinsi ilivyo kwa sababu moja kubwa tu na yo ni kwamba ndio mji mkuu na ambapo kila kitu kiko huko leo hii wewe hata ukitaka kufungua Kiwanda tu labda Arusha au Kigoma ni lazima pia ufungue na Ofisi ya Pili Dar bila ya hivyo utakwama hata msajijri tu wa Makampuni Brela ni lazima uende Dar, ukitaka kufwatilia maswala ya kodi TRA lazima uende Dar, ukitaka kuonana na watu wa Chamber of commerce ni lazima uende Dar na ndio maana iko hivyo!

Lkn Arusha kama Arusha kwa mfumo huu wetu haiwezi kuizidi Dar hata iweje labda Serikali ichukue hatua za makusudi za kuipendelea Arusha tu, kitu ambacho mikoa mingine pia wataona siyo sawa, hivyo kwa ngazi ya Maendeleo tulinayo TZ, Arusha iko juu tena sana tu!

Mkuu hata serikali ikichukua hatua haiwez kufika,jiji au mji ili uendelee unaitaji financial power kutoka kwa wakaz wa eneo husika ndio maana unaona pamoja na serikali kujinga ofisi za serikali Dodoma lakn serikal imeshndwa kuamia kutokana hakuna uwekezaji wa maana mwingne kutoka sector binafsi,hilo ni tofauti unapokuja kwenye majiji kama Dar au Mwanza sector binafsi au wakaz wa maeneo yale wamewekeza katika sector mbalimbali na hvyo kufanya kuwa na utofauti na maeneo mengne
 
mi naona tanga ndo mji uliopangwa ungeendelezwa ungekuwa jiji zuri sana lakini majengo yote yameshachakaa kama jiji la kihistoria
 
Back
Top Bottom