ulichokiongea Ndugu yangu nakuunga mkono mia kwa mia uchaguzi huu chadema wameonewa sana kila pembe kwa nguvu zote,hujuma za kila aina iliitaji kujitolea kifo ili chedema ishinde kwa bahati mbaya majimbo mengi hayajapata ujasiri wa kulinda kura kwa garama ya kifo ili linawezekana tu,Arusha wakiongozwa na Mbuge wao,lakini itakapofikia hata majimbo kumi tu ya mfano wa Arusha tutashinda, katika uchaguzi wa Kalenga likiboreshwa dafutari la wapiga kura na wakipatikana majasiri wa kulinda kura kama Arusha tutashinda,lakini kwa kuwa tume ni kwa ajili ya ccm hawatokubali hiloNi pigo kubwa kwa maccm ilhal wengine wakijifariji kwa kuanzisha nyuzi za kijuha bila ya kuangalia ukweli.Uchaguzi huu ulikuwa tanuri la moto kwa chadema huku ccm ikiwa ni kuni kavu waliotumia hila chungu nzima kuanzia kuwanyima watu haki yao ya kupiga kura,ubabe,nondo,mapanga na kila aina ya hujuma hadi kutumia policcm lakini chadema yazidi kung'ara kila kona ya nchi kwani imeweza kuikaba ccm kila kona na hatimae kuwapora jiji la kitalii kwa jasho,damu na hata vifo vingi tu.Kilichonifurahisha zaidi ktk uchaguzi huu ni kuona gari ya jeshi ikiwa na askari pamoja na mashabiki wa timu yao ya mpira walivyowapa sapoti makamanda waliokuwa wanalinda kura kwa kuwashangilia kupita maelezo hadi magamba na policcm wakanywea."VIVA CHADEMA VIVA".
Lakini usisahau, "ILIBIDI KUPAMBANA HADI DAMU KUMWAGIKA!" Poleni sana Wana Arusha. Mipigwa lakini mlisonga mbele. Wengine wenu walitiwa gerezani lakini mlisonga mbele. Mlipigwa mabomu na risasi lakini hamkukata tamaa! Mlizika ndugu zenu waliouwawa lakini mkasonga mbele. Kuna kitu kikubwa cha kujifunza na kujivunia kutoka kwenu. Nawashauri neno moja tu, Kupata ni kitu kingine na kutunza ni kitu kingine! Shikeni sana mlicho nacho sasa mtu mwingine asije kuwanyang'anya taji yenu. Kamanda Lema, "I SALUTE YOU!"
Kama Halmashauri ni yenu sasa acheni kuongelea habari za ushindi hadi leo...pangeni sasa mipango ya kulibadilisha jiii la Arusha ili muonyeshe utofauti.
Mna advantage ya Mbunge na mnaongoza halmashauri , hamtakuwa na utetezi wa uzembe wowote.
Ifikie mahali lele ziishe.