Jana chadema ilikuwa Mbunguni na binafsi nilikuwa kwenye kijiji kimoja wapo hakika CCM haina chake ni kwenye kijiji cha maweni....tulikuta wametoka kugawiwa pesa(5000), T-shirt, Kanga, Kofia, na Vitambaa lakini walituhakikishia kuwa kula CCM kura chadema....Ni kweli Mbuguni ni kama hawajafanya maamuzi. Tusubiri tuone hali itavyokuwa lakini ukweli Arumeru wanaCCM hawapo kifua mbele kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Wanahisi hawana cha kujivunia, yamebaki mapenzi na ushabiki.
Jana chadema ilikuwa Mbunguni na binafsi nilikuwa kwenye kijiji kimoja wapo hakika CCM haina chake ni kwenye kijiji cha maweni....tulikuta wametoka kugawiwa pesa(5000), T-shirt, Kanga, Kofia, na Vitambaa lakini walituhakikishia kuwa kula CCM kura chadema....