Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt

Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
2,376
Reaction score
1,517
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?
 
siasa chafu ndo matokeo yake upo kwenye nyumba ya kioo unajiona upo safe
 
Kwa sababu wao wamezitaka siasa za namna hii basi kwa hakika haya na maswali sahihi kabisa kwao watujibu tafadhali
 
Hii ya kumfananisha Wasira na Sokwe mtu sidhani kama Halima anaweza kuisema!ya Makinda hiyo haina mjadala!c.c.m wanashndwa jielewa wanapambana na chama ambacho majority ni vijana ila wastaarabu,lakini si kuwa hawawezi kujibu kejeli za c.c.m
 
Nothing wrong kufanana na sokwe, kwani si kweli binadamu tunafanana sana na Sokwe!
 
me sidhani kama halima amepiga below the belt,...nadhani amepiga between the legs..
 
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?

Huyo si Salim Ahmed Salim alimtandika Mimba akakosa mume?
Kweli ccm wamekosa sera, wanaongozwa na spika muhuni muhuni kumbe wamejisahau
 
Kwa kampeni za Arumeru Mashariki kwa sasa. ni ngumu utangaze sera wakati mwenzio anachofanya ni kukuchafua.
Acha wajibizane kwanza ila watakaoonekana wajinga ni wale wazee waropokaji. Nadhani wote tunajua wanapatikana chama gani.
 
Unapokuwa Ulingoni, Konde lako la kwanza ni muhimu sana na linaweza kubashiri ushindi. Ingawa siasa za maji taka hazifai, lakini kama wakubwa wanaoheshimika hawaziwezi wacha vijana wamalizie. Waangalie limits tu.
 
Wapi picha tufananishe.

wassira.jpg

chipanzee.jpg


kwa mbaali unaweza kuona ka comparison between the two! kama mtoto wa bamkubwa na bamdogo hivi.
tofauti ni kwamba moja kavalishwa suti
 
Ni kweliii...wasira ni vivid example that we human beings originated from a spice of chimpanzee...kitu ya homohabillis kama history haijanipitia mbali...he is a so called old version of civilized human beings..very close to human nature...

jamaa yangu alituchekesha one day alisema eti wasira alikuwa kalala kwenye v8 lake anapita serengeti mbugani kwenda kwao bunda from a-town...alivyofika katikati ya mbuga akapiga usingizi kwa juu katupia kofia yake ya green n yellow ile wanatoka geti la mbugani si gari inakaguliwa..mlinzi wa mbuga akawa anamuuliza dereva wa wassira vipo wapi vibali vya kuvuna rasilimali za taifa aka sokwe mtu...sasa dereva akawa kama anataka kucheka ila jamaa yupo serious ndio akaamua kutumia ile picha ilee ya mwananchi mzee akiwa kalala akitafakari na kumwambia jamaa kuwa hii sio natural resource ni mkuu akitafakari kama hapa....

ndioooo halima hujakosea watu kibaooo tuu kitaaa tunamfananisha na sokwe-mtu.
 
Back
Top Bottom