Arumeru Mashariki hakueleweki!!!!

Arumeru Mashariki hakueleweki!!!!

laleo

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
30
Reaction score
4
Jamani nani hasa anafaa kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki?
Nasikia Kuna Elishia Kaaya na Elirehema Kaaya.
Wanajimbo wa kule mara nyingi wanachagua bila vigezo,jee Elirehema atamshinda Elishilia
 
Jamani nani hasa anafaa kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki?
Nasikia Kuna Elishia Kaaya na Elirehema Kaaya.
Wanajimbo wa kule mara nyingi wanachagua bila vigezo,jee Elirehema atamshinda Elishilia[
/QUOTE]
USICHOKIELEWA NINI SASA_SEMA UNAJIFANYA KICHWA NGUMU TU.
 
Mwehu tu!
We utakuwa CHADEMA TU.
mumeanza kutapa-tapa eeh!
na bado.
 
Jamani nani hasa anafaa kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki?
Nasikia Kuna Elishia Kaaya na Elirehema Kaaya.
Wanajimbo wa kule mara nyingi wanachagua bila vigezo,jee Elirehema atamshinda Elishilia

Mbunge wetu ni Joshua Nassari
 
Bichwa kubwa halafu limejaa makamasi! Nenda Facebook kwa wenzako
 
Naaree nnduu a kweruu,Mh Mbunge Nasari upo kamili?Tupo kwa ajili ya kulinda kura zako,Hatochakachua mtu.
 
Mi nnavofahamu ni lazima NASSARY achukue jimbo la Arumeru Mashariki haina ubishi iyoo hata kidogo, kama hamuamini tusubirie.
 
Siasa za kurithishana tulisha zilpinga zamani ina maana wamama wengine hawakuzaa ni kwa kina sumary tu au?
 
Oh God!!!! Hivi haya ya kweli?
Lakini lolote laweza kutokea.Kama Sumari junior anafaa nadhani inabidi ajitokeze atuambie ni namna gani atasaidia gurudumu la maendeleo katika jimbo letu.Hakuna aja ya kubaguana bwana
 
Namfahamu vzuri nassary...he is good na last time alimpa challange sana summary
 
Back
Top Bottom