Jamani ee leo mimi nina kilio kikubwa na wana arumeru magharibi.Hivi huyu mbunge wetu mh Godluck ole medeye yuko wapi!
Arusha mjini wenzentu wana jembe Godbles lema.Arumeru mashariki kuna dogo janja Joshua Nasari.Sisi arumeru magharibi mmmhh yuko zake kule juu anakula bata.
Yaani huyu jamaa tangu achaguliwe tunamuona kwenye tv tuu.Wenzetu mjini arusha pamoja na kwa dogo nasari kila siku wako kwenye harakati za kuikomboa nchi kutoka ktk mikono ya wanyonyaji Chama cha magamba.
Ndugu zangu arumeru magharibi tuamke,tuungane na wenzetu ktk harakati hizi njema zenye lengo thabiti la kuikomboa nchi yetu.Mungu ibariki Tanzania.Mungu ibariki Arusha iwe chanzo cha mabadiliko ya kweli ktk nchi hii.