christumaini
Senior Member
- Sep 27, 2010
- 165
- 133
Hizi nilizipiga toka national gallery ya Ireland.. Hii pichani kati chache zilizopo kwenye makumbusho hiyo ikionyesha intermariages baina ya weusi naweupe(imechorwa na jamaa anaitwa Murley ..karne ya 15)ujumbe gani upo kwenye hyo picha ya chini chief?!

