Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,630
- 11,096
Leo kuna project (coding) nilikuwa naifanya, ilikuwa ni mabadiliko kwenye Next.js ili website iweze ku-display phonetic transcription.
Ni kazi ndogo tu ila kwasababu ilikuwa inahitaji changes kwenye files za:
config.js
_document.js
_app.js
Nikaona kuokoa muda niingie ChatGPT ili inisaidie ku-encode characters zitakazoweza kusomwa kwenye Vivinjari (browsers) tofauti-tofauti.
Sasa kinachotisha ni kuona jinsi hatua za awali tu AI inavyochakata code kwa haraka na kwa usahihi with almost zero errors.
Naanza kuamini yale yanayotabiriwa kuwa kazi zetu zipo matatani kwa miaka ijayo.
Yajayo yanatisha!