Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,854
- 3,872
Samsung Safety Truck Technology iliyozinduliwa nchini Argentina na kampuni ya Samsung Electronics Argentina na Leo Burnett (Partner). Dhumuni kubwa la teknolojia hii ni kudhibiti na kuzuia ajali za barabarani zitokanazo overtaking situations kwenye barabara zetu.
Je, kwa nchi zetu za Afrika, teknolojia hii itazuia ajali zitokanazo na Overtaking situations kwa asilimia ngapi?
(1)
(2)
(3)
(4)
Je, kwa nchi zetu za Afrika, teknolojia hii itazuia ajali zitokanazo na Overtaking situations kwa asilimia ngapi?
(1)
(2)
(3)
(4)