Artchture

Artchture

almirah

Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
19
Reaction score
3
msaada wa maelezo kwa yoyote anaefaham kuhusu hii course kuna ndugu yangu kachaguliwa sielewi hata pa kuanzia
 
Inaitwa architecture a.k.a akikesha au archtoture!

Ni mziki mnene wa miaka mitano kwa ardhi university.

Kukesha siku tatu studio kupambana na project ni swala la kawaida kabisa.

Inahitaji moyo na kupenda kile anachokifanya.

Otherwise, ni course ya kibabe sana. Mwambie ajiandae kupiga shule na sio kwenda kuuza sura.

Ni hayo tu
 
Kukesha siku tatu studio kupambaba na project ni swala la kawaida kabisa.

Inahitaji moyo na kupenda kile anachokifanya.

Otherwise, ni course ya kibabe saa. Mwambie ajiandae kupiga shule na sio kwenda kuuza sura.

Ni hayo tu
ok asante sana
 
Inaitwa architecture a.k.a akikesha au archtoture!

Ni mziki mnene wa miaka mitano kwa ardhi university.

Kukesha siku tatu studio kupambana na project ni swala la kawaida kabisa.

Inahitaji moyo na kupenda kile anachokifanya.

Otherwise, ni course ya kibabe sana. Mwambie ajiandae kupiga shule na sio kwenda kuuza sura.

Ni hayo tu

Eeh Kwa ARDHI nakubali sana hao ndio wabobezi wa hayo mambo, kama umepangiwa ARDHI utafaidi sana maana hao ndo waanzilishi na wabobezi, majamaa hao ma architecture ni hatari sana hua nawakubali vilivyo
 
Back
Top Bottom