View attachment 181031
Huyo ndiye Baba Ramdev akitoa hotuba huku ame relax. Itabidi tuwaandalie pambano bwana mshana
Nilivyoona neno yoga kwenye titlle nikaja mbio nilitegemea kuona
Salamander ina maana yoga wanafanya wanawake tuu na hawana posture mbadala?Au hii