Arsene Wenger Manager Bora Kuliko Sir Alex……..

LMAO!!
Arsenal sio timu maskini kama unavyotaka kutuaminisha..... 3rd richest club in the world.
Exactly Mkuu..., na hii imetokana na Management ya Wenger.., ya kununua Cheap; Sell High na kumanage hata ujenzi wa uwanja mpya...

Tofauti na timu kama chelsea ambayo ni mfuko wa jamaa mmoja au Man United ambayo gate collection yake ya kila wiki hakuna timu inayoweza kuifikia England..., kwahiyo tunarudia tena Maybe.... Maybe..., The way of Wenger is how a Football Club should be run sababu hii winning at all cost mentality inaweza ikatukuta few years from now hatuna Football Club hata moja zote zimerun Bankrupt... (sababu the way players are paid and bought does not make economic sense.., na lazima tukubali kwa sasa mpira ni Biashara.)
 

Kama unakubalim kwamba mpira ni biashara, na biashara ni kununua na kuuza kwa lengo la kupata faida; tangu arsene wenger aanze kuvumbua vipaji na kuviuza kwa bei mbaya hizo pesa nyingi anazouza anazipeleka wapi?? halafu usitudanganye kwamba arsenal hawana pesa za kununua wachezaji, misimu miwili hivi arsene wenger amekuwa akisema ana pesa za kununua wachezaji lakini hanunui. Labda ninachokiona kwa wenger ni kwamba anaogopa kununua wachezaji wakali akihofia kufunikwa manake yeye ndiye mchezaji pekee star pale emirates, lakini pia anaogopa kununua wachezaji wenye majina makubwa na viwango vikubwa kwa kuwa anajijua uwezo wake wa kumanage ni mdogo kwahiyo low profile players ndio size yak!! Arsenal pesa wanazo tatizo ni wenger hataki kununua wachezaji, inawezekanaje mabeki wa kutumainiwa wameumia halafu wenger hanunui replacement huku anayo pesa mfukoni??

Tuache ushabiki usiokuwa na tija, mwisho wa siku mafanikio ya timu yanapimwa kwa kuchukua vikombe, hizi bla bla za kucheza beautiful footbal haziwasaidii ni suala la kujifariji tu. Beautiful footbal wanacheza barca na wanashinda vikombe, kama nyie mna falsafa mpya ya kucheza beautiful footbal bila vikombe basi mbadilishe jina la timu muwe arsenal football academy, arsenal fc haliwafai!!
 
wenger siyo prof... ila ni mwalimu tena wa o-level. anahofu kudili na watu wazima km kina w.galas
 
Please ku-underline what I have said naomba muangalia the following extract:-

 
 
Voiceofreason hiyo article hapo juu umeiandika wewe?
LMAO unamzungumzia Saha aliyekwenda Everton baada ya kushinda 2 EPL na 1 UCL Man Utd au Saha yupi? Au unazungumzia success ya aina gani?

Kwa hiyo ni sawa kwa Arsenal kukaa miaka 6 bila kuchukua kikombe kwa sababu Wenger alichukua double ndani ya miaka miwili tangu aanze kuifundisha Arsenal?
Lol nimependa jinsi ulivyoamua kuruka vikombe vingine na kuandika kikombe kimoja tu ila to jog your memory kabla ya kuchukua EPL SAF alichukua vikombe vifuatavyo,
i) FA Cip winners 1989-90
ii)UEFA Cup Winner's Cup 1990-91
iii)UEFA Super Cup 1991

Ferguson inherited a strong United brand and may well leave the club in a far worse position than he took over.
Are F***** serious? Man Utd ya Atkinson au Man Utd ipi unayoizungumzia? Timu ambayo ilikuwa inakaribia kushuka daraja leo unasema ilikuwa strong? I give up.
 
Voiceofreason hiyo article hapo juu umeiandika wewe?

Mkuu thats an extract kama nilivyosema hapo juu ila the facts zinaonekana kuhusu matumizi and they are undisputed

LMAO unamzungumzia Saha aliyekwenda Everton baada ya kushinda 2 EPL na 1 UCL Man Utd au Saha yupi? Au unazungumzia success ya aina gani?
Mkuu success ya mchezaji ni performance yake au medals alizopata...? Kanu alishinda Champions league na Ajax was he successfully there?, Quinton Fortune ana medals kibao na Man U je alikuwa successfully there? Mkuu Saha alikuwa anaperform better alivyokuwa Fulham na amepata games nyingi na kuwa na impact zaidi alivyoenda Everton...., Hivi ni game ngapi alicheza alivyokuwa Man United.?

Mkuu Authour wa hiyo Article hajaruka vikombe ni ame-state the facts kwamba Wenger alipata instant success without spending tofauti na Man United; Blackburn au Chelsea ambao ilibidi wabreak the bank ili kupata Success kwahiyo Wenger pekee ndio aliweza kupata success bila pesa

Are F***** serious? Man Utd ya Atkinson au Man Utd ipi unayoizungumzia? Timu ambayo ilikuwa inakaribia kushuka daraja leo unasema ilikuwa strong? I give up.

Mkuu what is a Brand...??? ; What is a Strong Brand??

Does it mean kwamba blackburn ambayo ilishinda premier league ni stronger kushinda Newcastle ambayo haijawahi kushinda kombe??; Does it mean sababu Liverpool haijashinda premier league ni weaker brand kuliko Chelsea..???

Mkuu hapa author amesema and I qoute.."Ferguson inherited a strong United brand and may well leave the club in a far worse position than he took over." Therefore MKuu it is debatable if a Debt Free Man United was a Strong Brand than a Debt Ridden Man United under Glaziers... Alafu lazima ujue kwamba washabiki wengi wa Man United ni "GLORY HUNTERS"... kwahiyo kukosa makombe kwa muda kwa United inaweza ikajikuta inapoteza mashabiki wake wengi na kubaki na hili deni ambalo inalo, sasa wakati Foundation aliyoiacha Wenger hata wakiwa Championship sio tatizo kwa timu....

Alafu wakuu hii issue ya kusajili.., Mchezaji akija mpya na Star anakuja na package ya wages kubwa na atataka awe probably the top earner kwenye Club tumeona jinsi Chelsea Walivyompa Ballack Wages kubwa wote kina Lampard na Terry ilibidi wapewe sawa na Ballack walivyosign a new contract... So Wakuu there is more than Just Fee ya kumnunua mchezaji wages comes into consideration na ukishaanza ku-break the Bank it can easily get out of a Hand.. A Thing which Wenger has managed to prevent tofauti na any other man under the footballing World..
 
Alicheza mechi 124 na alifunga magoli 42, EPL 2, Carling Cup 1, Champions League 1
Everton amecheza mechi 95 amefunga magoli 33
na kumbuka stint yake Man Utd ilikuwa imegubikwa na injuries nyingi.
Louis Saha Bio, Stats, News - Football / Soccer - - ESPN Soccernet

Kwa hiyo siku hizi kipimo cha mafanikio ya mchezaji kinapimwa kwa idadi ya mechi alizocheza na sio vikombe na medali alizoshinda?

Ebu tulinganishe manunuzi ya timu zote mbili kwenye misimu zilipochukua EPL

1992 Man Utd ilisajili wachezaji watano
Terry Cooke,
Pat McGibbon
Kevin Pilkington
Eric Cantona £1.2 Million
Dion Dublin £1 Million

Season ambayo Wenger alichukua double (1997/98) mbali ya kuinherit string teame kutoka kwa George Graham aliongezea wachezaji wafuatao
Marc Overmars 5.0 million
Emmanuel Petit 3.5 million
Luis Boa Morte 1.75 million
Gilles Grimandi 1.5 million
Matthew Upson 1.2 million
Alex Manninger 0.5 million
Alberto Mendez 0.2 million


Sasa kwa maoni yako Man Utd broke the bank?

Hayo madeni yameletwa na Ferguson? Na tangu tumenunuliwa na kuwa na madeni has it hampered our success on the pitch? Kama mwanachama wa Man Utd for years sikubaliani na wewe au huyo author kuwa Man Utd was a stronger brand wakati SAF anachukua.
Source; Hail To The Hairdryer
 

Mkuu hizo games 124 alicheza kwenye season ngapi..? mkuu mafanikio ya mchezaji yanapimwa individually kwa michango yake katika timu as well as medals, ndio sababu nikakupa mfano wa Quinton Fortune alivyokuwa Man United ingawa ana medals nyingi lakini sababu alikuwa anacheza games chache huenda hata angechezea Stoke City football career yake ingekuwa meaningful zaidi, thats why Lucas Ladebe ingawa hakupata medals kama Fortune lakini tunaweza alikuwa na mafanikio zaidi kwenye career yake England

Pia Mkuu katika hayo magoli aliyofunga akiwa na United ni mangapi alifunga akiwa kwenye league cup (carling cup) ngoja nikupe stats za kwenye premier league Saha alikuwa
Fulham 4 Seasons Played 153 scored 53
Manchester United 5 Seasons Played 86 Scored 28
Everton 3 Seasons Played 79 Scored 26
( The Stats Speaks for themselves.... Need I Say More???)

Kazi kweli kweli....!!! hivi value ya 1.2m kwa mchezaji 1992 inaweza ikawa compared na value ya mchezaji 1997; alafu lazima ujue hapo kwenye hizo signings za arsenal same year Paul merson aliuzwa kwa 5m alafu hao wachezaji wote uliowataja waliuzwa kiasi gani na wenger baada ya kumtumikia (ili nisikupe kazi sana angalia overmass aliuzwa kiasi gani kwenda Barcelona)

Pia lazima ujue kwamba kipindi Alex anamchukua Cantona kila mtu alishaona talent yake akiwa Leeds so it was just who had a bigger wallet

Mkuu it is undisputed kwamba signings za wenger zimekuwa na value na kwa kutumia pesa ndogo... The facts speaks for themselves so no need to argue on that front....
Hayo madeni yameletwa na Ferguson? Na tangu tumenunuliwa na kuwa na madeni has it hampered our success on the pitch? Kama mwanachama wa Man Utd for years sikubaliani na wewe au huyo author kuwa Man Utd was a stronger brand wakati SAF anachukua.
Takwambia kwanini Man United iliamua kuchukua wafadhili kina Glaziers.., baada ya Abramovich kuja Chelsea na kuwaga pesa for the first time Man United ikaona haiwezi ku-compete na Chelsea when it comes to money, kwahiyo ndio wakaenda kwa Glaziers...., So it was during Sir Alex time when United got the Debt..

If you think winning at all cost mentality is better okay.. na siwezi nikakubishia, na kama unaona a Team without madeni na Team with madeni (ingawa inashinda makombe) is Stronger Brand, okay thats your opinion.

To me What matters its foundation anayoiacha manager for the future team..., (What is makombe, even Nottingham Forest was once a very big team in England lakini where are they now, Blackburn is one among the four teams ambazo zimechukua Premier League, but their Brand is it Stronger?, Leeds tried to go the same route we know what happened

So it is Undisputed it is ONLY ONE MANAGER and ONE MANAGER ONLY who has managed to win the EPL on a budget of a Championship team; while all others had to spend to the core.... and that my friend is a FACT no matter how you look at it

and Remember Managers, Players, Glory Hunters, come and Go.... BUT The Football Team and Loyal Fans Stay Forever.... (Therefore these Debts which clubs are piling will eventually come to haunt the Teams)... AND WENGER will leave a foundation which other managers will build upon. A Valuable Club with no massive DEBTS..
 
Sasa since umekimbilia stats za Wikipedia ungeendelea na kutuletea story nzima kumhusu Saha wakati yuko Man Utd sio unachukua vipande vipande ambavyo unaona vitasaidia argument yako.
Hiyo ni season moja tu.

Despite struggling with injuries in parts of the 2004–05 and latter parts of the 2006–07 and 2007–08 seasons, Saha still contributed 42 goals in all competitions for Manchester United in 120 appearances for the club.
Louis Saha - Wikipedia, the free encyclopedia
By the way Saha hakukaa Man Utd miaka mitano hiyo number yako sijui umeitoa wapi.

Again wacha distortion na kupindisha maneno, sikulinganisha value simply kwenye post yako ambayo nilikuwa naijibu ulisema kuwa Man Utd kama Chelsea na Blackburn broke the bank to win titles ukilinganisha na Arsenal ambayo haikutumia hela zozote sasa nilichofanya ni kukuonyesha matumizi ya timu zote mbili katika hiyo misimu waliyochukua vikombe.

Post yako

Mkuu naomba niishie hapa maana hapa naona huna nia ya kutaka tuelimishane bali unataka tukubaliane na wewe kibubusa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…